Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Kesi imeisha DPP kaingia mitini!

DPP kaamua kutunyima elimu ya uraia bila sababu, starehe ya kuona wakubwa wakilamba mchanga kwa midomo yao, katunyima kujua medani za wasiojulikana, katunyima kujua makomandoo walifukuzwaje kazini kwao, katuaacha bila kutuonyesha majaji wa Magufuli ni wepi....

Ukweli nimesononeka sana tena sana bora kesi ingeendelea ili tuone ndani ya box mpaka chini kabisa kuna kitu gani
 
Mukuu hebu iweke kwa lugha rahisi tuelewe sisi layman
Boss sikuizi maisha ni rahisi, kitu chochote kama uelewi , lugha yoyote basi ukiweka kwenye google basi unapata jibu
 
Siyo kweli! Kama ulifuatilia hiyo kesi kulikuwa na ushahidi gani wa Jaji kuamua kuwa wana kesi ya kujibu? Jaji amejiabisha sana na kuaibisha Judiciary. Huhitaji kuwa mwanasheria kufahamu kesi ya Mbowe ilikuwa ni kutaka kumkomoa tu
 
Hujielewi
 
Wacha sasa tuendelee kupanga MIKAKATI ya kichama baada ya M/kiti wetu wa CHADEMA Taifa, Mh. Freeman Mbowe kuachia HURU.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo kuna Ibada ya Njia Ya Msalaba aliyopitia Bwana wetu Yesu Kristo kuelekea kwenye ukombozi wa Wana wa Mungu.
Njia ya Msalaba???,,........ wa yule kijana zeruzeru wa kizungu au msalaba gani weye unasema???? mbona mnatuchezea akili nyie watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…