comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Wenye hekima wanashukuru yamepita na wanaomba yabaki hivyo hivyo-kama wewe unaona umeshinda Mungu awe naweGaidi eti anaitwa Ikulu😀😀😀!Mmepigwa na kitu kizito kichwani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye hekima wanashukuru yamepita na wanaomba yabaki hivyo hivyo-kama wewe unaona umeshinda Mungu awe naweGaidi eti anaitwa Ikulu😀😀😀!Mmepigwa na kitu kizito kichwani!
Hao viongozi wa dini walitumwa na Mbowe ....hata Lissu naye alimuombea msamaha Mbowe, hata zitto kabweMbowe alishaweka wazi toka kipindi kile Zitto anajifanya anamuombea msamaha kuwa hayuko tayari kuomba msamaha wala huruma ya Rais. Akasema yupo tayari kufia gerezani. Mmeona maji yanazidi unga mkamtuma shehe wenu ajifanye anaomba msamaha. We are too smart for that...Poleni maccm
K wa hiyo mmemtisha?Wewe unadhani Hangaya alikuwa anafurahi kila akiingia mitandaoni anakutaa na hashtag za Mbowe sio gaidi
Kwani aliyefungwa hapati msamaha? Sugu kule Mbeya ilikuwaje?Angekomalia msimamo, Mbowe angefungwa, ushahidi ulikuwa mwingi sana, mpaka mahakama, katika hatua ya awali, ikaona Kuna kesi ya kujibu
Hapana,ameona jinsi alivyojijengea uahasama na wananchi wake bila sababu za msingi!K wa hiyo mmemtisha?
Anapata, yaani hakuna mahala Mbowe angetoboa bila kupiga goti kwa mamaKwani aliyefungwa hapati msamaha? Sugu kule Mbeya ilikuwaje?
Mbowe hajamuomba msamaha mtu wala Lissu. Mtu akikuambia futa kesi hiyo ni ya kisiasa sio kuomba. Jifunze kutofautisha mjomba. Labda chawa mwenzako Zitto,ambae hata hivyo hakuna aliyemtumaHao viongozi wa dini walitumwa na Mbowe ....hata Lissu naye alimuombea msamaha Mbowe, hata zitto kabwe
Mbowe alikuwa yupo tayari kwa kukabiliana na hii kesi, Ila DPP ameona atakuwa looser hivyo mama angepata aibuAzingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyeomba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila amkanye asirudie tena...
Nenda wewe mahabusu kwa niaba yake na ushitakiwe wewe kwa niaba yake! hapo vipi? patamu eeeeh?Sipendi Mbowe na wenzie waendelee kuwa mahabusu, lakini pia sipendi kusikia ameachiwa kwa MSAMAHA! Kama ni hivyo, basi kesi iendelee tuzijue mbivu na mbichi!
Na nina imani, kwa ushahidi uliotolewa, bila UJAJI WA MCHONGO, kulikuwa hakuna KESI hapo!
Mbowe alikuwa stoo(gerezani) asingeweza kutoka kwenda ikulu, alituma viongozi wa diniMbowe hajamuomba msamaha mtu wala Lissu. Mtu akikuambia futa kesi hiyo ni ya kisiasa sio kuomba. Jifunze kutofautisha mjomba. Labda chawa mwenzako Zitto,ambae hata hivyo hakuna aliyemtuma
Shehe wenu huyo rafiki wa mama yenu...Mama kaomba poo 🙌 Alianza kwa kwenda kumtafuta Lissu ubeligiji. Sasa naona kamuita kumuomba mwamba ikulu atulize majeshi. CCM siku zenu zinahesabikaMbowe alikuwa stoo(gerezani) asingeweza kutoka kwenda ikulu, alituma viongozi wa dini
Mbowe kaomba aende ikulu kabla hata ya kuonana na wanachadema, hahahaa, alikuwa anachekacheka tu hapo ikulu, wanachadema mlidhani nyie wa muhimu Mbowe akutane na nyie kwanza? Amekutana na mtu wa muhimu sio vibaka akina mdude na maseseShehe wenu huyo rafiki wa mama yenu...Mama kaomba poo 🙌 Alianza kwa kwenda kumtafuta Lissu ubeligiji. Sasa naona kamuita kumuomba mwamba ikulu atulize majeshi. CCM siku zenu zinahesabika
Mama ameomba kabla hata jamaa hajalala aje amuombe poo. Asijekuamka kesho na katiba mpyaMbowe kaomba aende ikulu kabla hata ya kuonana na wanachadema, hahahaa, alikuwa anachekacheka tu hapo ikulu, wanachadema mlidhani nyie wa muhimu Mbowe akutane na nyie kwanza? Amekutana na mtu wa muhimu sio vibaka akina mdude na masese
Sikiliza speech ya Mbowe, anasema "mama ameridhia"Mama ameomba kabla hata jamaa hajalala aje amuombe poo. Asijekuamka kesho na katiba mpya
Huyu jamaaa alikuwa mke wa 17/3/2021. Kwa hiyo usimshamshangae Bado ana maluelue ya edaAisee,kweli CCM ndio vichwa vyenu viko hivi? Una umri gani? Shame on you!
Kumtaja Rais Samia kwenye comment chafu namna hii ni kumdhalilisha pia!
Wewe mfia legacy kajinyonge tu ufe. Zama zenu zimekwishaSikiliza speech ya Mbowe, anasema "mama ameridhia"
Wewe mfia legacy kajinyonge tu ufe. Zama zenu zimekwisha
Kamanda mchovu, kwani wakati tunakuambia ilikuwa KESI ya michongo hivi bado TU ulikuwa haujaelewa. Au nawe ndio kijani wameiachia akili yako kutoka gerezani🤔Huku ni kuchezea rasilimali za umma na pesa za walipa kodi.
Unarndesha Criminal session kwa pesa nyingi unalipa mawakili wa serikali, jaji na watumishi wa mahakama...