Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

AowZpq.jpg
 
Yule mfu anayeoza kule mwache funza wamlizie

Masikini ya Mungu hata adui yenu hammjui mlivyochanganywa, hata Mbowe mwenyewe unayempigania anaujua ukweli na anajua nani alimfunga na kwa nini, anyway Mungu akusamehe, kwani wote tunapita hata hivyo na kila nafsi itaonja mauti!
 
Kuna mbwiga mmoja anaitwa Comte ni mtu flan Wa hovyo Sana kumshuhudia toka nimejiunga jf
 
comte aka mzee wa tactical appreciation,njoo uone DPP alivyoogopa ushahidi wa upande wa utetezi na kuamua kuingia mitini!
DPP akitoa kesi na mshitakiwa akiachiwa huru aweza kukamatwa tena na kushitakiwa upya- hivyo usiwe msahalifu. Pole wewe maana utakosa mihogo na mahindi ya kuchoma pale mahakamani
 
Kuna mbwiga mmoja anaitwa Comte ni mtu flan Wa hovyo Sana kumshuhudia toka nimejiunga jf
Soma CPA 91 utagundua kuwa DPP akiondoa kesi hamakamani na mshitakiwa akachiwa huru aweza kukamatwa tena na kushitakiwa upya
sijui unajisifu nini maana
  1. mbowe alikamatwa na kakaa ndani miezi 9- FACT
  2. kashtakiwa na ushahidi umeonyesha ana kesi ya kijibu- FACT
  3. DPP kaondoa kesi kwa mjibu wa mamlaka aliyonayo kikatiba- FACT
  4. Jela ni shukle au chuo cha mafunzo Mbowe katoka huko kafunzwa kuliko alivyofunzwa na mama yake sasa ana adabu na anaheshimu mamlaka
  5. Mbowe kasema tumuunge mkono rais Samia tujenge nchi- WEWE UKO NAYE?
 
Huku ni kuchezea rasilimali za umma na pesa za walipa kodi.

Unarndesha Criminal session kwa pesa nyingi unalipa mawakili wa serikali, jaji na watumishi wa mahakama.

Kama ushahidi ulikuwa hautoshi kuwatia hatiani watuhiwa Nolle prosequi ilitakiwq iwe entered mapema kabla ya utetezi kupangwa.

Jaji alipitia majalada yake na kuona kuwa ushahidi uliotolewa umeonyeshawa watuhumiwa wanakesi ya kujibu.

Leo hii Dpp bila aibu anawachia watuhumiwa wenye kesi ya kujibu? Ina maana alidanganya ili alipwe pesa za walipa kodi kuendesha kesi ya uongo? Jaji alipitia majalada yenye kesi ya uongo?

Wote wapige chini kazi.
 
DPP alithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu na mahakama ikatoa uamuzi, yaani ushahidi wa Mbowe kujihusisha na ugaidi ulitosha, na mahakama akaona Mbowe ana kesi ya kujibu, nakala ya UAMUZI ipo.

Kabla ya kujitetea ili hukumu itoke imsafishe, akatuma viongozi wa dini wamuombee msamaha, ila kumbukumbu za mahakama kupitia uamuzi wake, iliona Mbowe, kwa ushahidi uliotolewa, alijihusisha na ugaidi.

DPP alikuwa tayari kummaliza Mbowe, ashukuru tu viongozi wa dini
 
DPP alithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu na mahakama ikatoa uamuzi, yaani ushahidi wa Mbowe kujihusisha na ugaidi ulitosha, na mahakama akaona Mbowe ana kesi ya kujibu, nakala ya UAMUZI ipo...
Kwa nini Dpp hana msimamo?
 
Kisheria sio sahihi kuiondoa kesi wakati mahakama imeona mtuhumiwa tayari ana kesi ya kujibu.

Ila Kisiasa ni faida kwa serikali ya CCM kwani kuna rekodi inayosema kwamba kiongozi wa Chadema aliwahi kukutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za ugaidi.

Kwakua hakuna maamuzi ya mahakama ambayo yanasema kwamba Mbowe sio gaidi basi tuhuma zinabakia pale pale na zitatumika dhidi yake.


Mbowe alipaswa ajitetee kwa faida yake na ili kuweka rekodi sawa.

Chadema wameliwa na kwa kutojitambua wanashangilia.
 
DPP alithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu na mahakama ikatoa uamuzi, yaani ushahidi wa Mbowe kujihusisha na ugaidi ulitosha, na mahakama akaona Mbowe ana kesi ya kujibu, nakala ya UAMUZI ipo...
Tuliwaambia toka mwanzo kuwa hakuna kesi..mkashupaza shingo, sasa imefikia mahali watu waanze kujitetea,wawaite kina Sirro na Samia kizimbani..mmepanick mmekimbia kesi.

Mkamtuma shehe wenu ajifanye anaomba kesi ifutwe. Mbowe alishasema hataki msamaha wala huruma mpaka ukweli ujulikane. Aibu tupu kwa maccm 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom