msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mfu anayeoza kule mwache funza wamlizie
Je mbowe anaweza kuishitaki serikali ili wamlipe mda waliompotezea kukaa ndani bila makosa?Kesi imeisha, DPP kasema hana Nia na kesi!
Uyu jamaa ana sura chachu
Kwani mashindano mkuu ?Haya tufanye ni wa pili. Nitajie wengine halafu linganisha na Waislamu waliosota jela kwa miaka kwa makosa ya ugaidi bila ushahidi wowote.
DPP akitoa kesi na mshitakiwa akiachiwa huru aweza kukamatwa tena na kushitakiwa upya- hivyo usiwe msahalifu. Pole wewe maana utakosa mihogo na mahindi ya kuchoma pale mahakamanicomte aka mzee wa tactical appreciation,njoo uone DPP alivyoogopa ushahidi wa upande wa utetezi na kuamua kuingia mitini!
Soma CPA 91 utagundua kuwa DPP akiondoa kesi hamakamani na mshitakiwa akachiwa huru aweza kukamatwa tena na kushitakiwa upyaKuna mbwiga mmoja anaitwa Comte ni mtu flan Wa hovyo Sana kumshuhudia toka nimejiunga jf
Pumbavu mkubwa shenziMilipoambiwa na wa Michongo mkakasirika, Sasa mmeridhika na Michongo yao?
Kwa nini Dpp hana msimamo?DPP alithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu na mahakama ikatoa uamuzi, yaani ushahidi wa Mbowe kujihusisha na ugaidi ulitosha, na mahakama akaona Mbowe ana kesi ya kujibu, nakala ya UAMUZI ipo...
Tuliwaambia toka mwanzo kuwa hakuna kesi..mkashupaza shingo, sasa imefikia mahali watu waanze kujitetea,wawaite kina Sirro na Samia kizimbani..mmepanick mmekimbia kesi.DPP alithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu na mahakama ikatoa uamuzi, yaani ushahidi wa Mbowe kujihusisha na ugaidi ulitosha, na mahakama akaona Mbowe ana kesi ya kujibu, nakala ya UAMUZI ipo...