Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Gaidi eti anaitwa Ikulu😀😀😀!Mmepigwa na kitu kizito kichwani!
Wenye hekima wanashukuru yamepita na wanaomba yabaki hivyo hivyo-kama wewe unaona umeshinda Mungu awe nawe
 
Mbowe alishaweka wazi toka kipindi kile Zitto anajifanya anamuombea msamaha kuwa hayuko tayari kuomba msamaha wala huruma ya Rais. Akasema yupo tayari kufia gerezani. Mmeona maji yanazidi unga mkamtuma shehe wenu ajifanye anaomba msamaha. We are too smart for that...Poleni maccm
Hao viongozi wa dini walitumwa na Mbowe ....hata Lissu naye alimuombea msamaha Mbowe, hata zitto kabwe
 
Angekomalia msimamo, Mbowe angefungwa, ushahidi ulikuwa mwingi sana, mpaka mahakama, katika hatua ya awali, ikaona Kuna kesi ya kujibu
Kwani aliyefungwa hapati msamaha? Sugu kule Mbeya ilikuwaje?
 
Hao viongozi wa dini walitumwa na Mbowe ....hata Lissu naye alimuombea msamaha Mbowe, hata zitto kabwe
Mbowe hajamuomba msamaha mtu wala Lissu. Mtu akikuambia futa kesi hiyo ni ya kisiasa sio kuomba. Jifunze kutofautisha mjomba. Labda chawa mwenzako Zitto,ambae hata hivyo hakuna aliyemtuma
 
Jaji aliye kuwa anasikiliza kesi hiyo katokea Mahakama kuu Mwanza hivyo alikuwa analipwa posho na gharama kibao...zote hizo kodi za wananchi..
haya ni matumizi mabaya sana ya fedha za umma.
 
Azingatie ushauri wa Mufti mzee wa Bakwata mzee wa hekima alioyeomba Raisi kuwa amsamehe Mbowe ila amkanye asirudie tena...
Mbowe alikuwa yupo tayari kwa kukabiliana na hii kesi, Ila DPP ameona atakuwa looser hivyo mama angepata aibu
 
Sipendi Mbowe na wenzie waendelee kuwa mahabusu, lakini pia sipendi kusikia ameachiwa kwa MSAMAHA! Kama ni hivyo, basi kesi iendelee tuzijue mbivu na mbichi!

Na nina imani, kwa ushahidi uliotolewa, bila UJAJI WA MCHONGO, kulikuwa hakuna KESI hapo!
Nenda wewe mahabusu kwa niaba yake na ushitakiwe wewe kwa niaba yake! hapo vipi? patamu eeeeh?
 
Mbowe hajamuomba msamaha mtu wala Lissu. Mtu akikuambia futa kesi hiyo ni ya kisiasa sio kuomba. Jifunze kutofautisha mjomba. Labda chawa mwenzako Zitto,ambae hata hivyo hakuna aliyemtuma
Mbowe alikuwa stoo(gerezani) asingeweza kutoka kwenda ikulu, alituma viongozi wa dini
 
Mbowe alikuwa stoo(gerezani) asingeweza kutoka kwenda ikulu, alituma viongozi wa dini
Shehe wenu huyo rafiki wa mama yenu...Mama kaomba poo 🙌 Alianza kwa kwenda kumtafuta Lissu ubeligiji. Sasa naona kamuita kumuomba mwamba ikulu atulize majeshi. CCM siku zenu zinahesabika
 
Shehe wenu huyo rafiki wa mama yenu...Mama kaomba poo 🙌 Alianza kwa kwenda kumtafuta Lissu ubeligiji. Sasa naona kamuita kumuomba mwamba ikulu atulize majeshi. CCM siku zenu zinahesabika
Mbowe kaomba aende ikulu kabla hata ya kuonana na wanachadema, hahahaa, alikuwa anachekacheka tu hapo ikulu, wanachadema mlidhani nyie wa muhimu Mbowe akutane na nyie kwanza? Amekutana na mtu wa muhimu sio vibaka akina mdude na masese
 
Mama ameomba kabla hata jamaa hajalala aje amuombe poo. Asijekuamka kesho na katiba mpya
 
Aisee,kweli CCM ndio vichwa vyenu viko hivi? Una umri gani? Shame on you!

Kumtaja Rais Samia kwenye comment chafu namna hii ni kumdhalilisha pia!
Huyu jamaaa alikuwa mke wa 17/3/2021. Kwa hiyo usimshamshangae Bado ana maluelue ya eda
 
Wewe mfia legacy kajinyonge tu ufe. Zama zenu zimekwisha
20220305_094506.jpg
 
Huku ni kuchezea rasilimali za umma na pesa za walipa kodi.

Unarndesha Criminal session kwa pesa nyingi unalipa mawakili wa serikali, jaji na watumishi wa mahakama...
Kamanda mchovu, kwani wakati tunakuambia ilikuwa KESI ya michongo hivi bado TU ulikuwa haujaelewa. Au nawe ndio kijani wameiachia akili yako kutoka gerezani🤔
 
Back
Top Bottom