Lini serikali ya ccm itatoa misamaha ya cement mchele sukari kwa wahindi ili walipe deni la kapten komba crdb?hapa tutarajie Manji kupewa tenda kubwa serikalini kufidia pesa zakeAmedai kwamba ataanzisha oparesheni tanzania nzima ya kupinga rasimu ya katiba mpya itakayopitishwa na bunge la katiba bila ya kuwemo ile rasimu ya serikali 3.Amesema wao ni sehemu ya ukawa hivyo atatumia chochote awezacho kupata kufanya oparesheni hiyo nchi nzima! My take: Haya haya misukule, muda wa michango imewadia watu wapige dili kazi kwenu.