Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti hasara!! Yupo CHADEMA kufanya biashara? CHAWA wa kibongo mna tope vichwaniIkiwa CDM imeshindwa, basi si ndiyo furaha kwa CCM na vyama vingine dhaifu vya upinzani!? Sasa kuna haja gani ya kumchunguza Mbowe!?
Ikiwa Bunge la JMT na mabaraza ya madiwani yote nchini karibu ya 100% yanahodhiwa na CCM, wewe unafikiri sauti iliyo rasmi na kinzani utaisikia kutoka wapi? Wakati JPM akifanya uhalifu katika chaguzi za mwaka 2019 na 2020, si mlikuwa mkishangilia ushindi wa kimbunga wa CCM!?
Leo ndiyo unatambua kuwa bila CDM kuingilia kati juu ya dhuluma inaofanywa na CCM dhidi ya wananchi mambo huwa hayaendi eeh! Hivi unaweza kupima kiasi cha jasho, machozi, na damu vilivyoigharimu CDM katika kuwatetea wananchi?
Huyu Mbowe unayesema hivi leo, unajua hasara kiasi gani ameipata katika kuwapigania Watanzania, na nini hasa ambacho wamemlipa kufidia hasara hiyo. Je! Kwa upande wako, ebu fanya tathimini umeshawahi kufanya nini katika jamii yako inayokuzunguka?
Nukuu ifuatayo kutoka kipande cha maneno ya Injili inaweza kuchagiza kile ambacho najaribu kukuelezea ili upate ufahamu;
Luka 6
41. Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
42. Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako.
Mbowe anakula pesa ya Umma lazima awajibike na siyo hiari. Hataki aondokeWewe mjinga kweli. Umelala na mke wako halafu unamsubiria Mbowe akupiganie. Ukiambiwa uingie mtaani ualnajificha ndani. Very stupid
Unaweza kujiheshimisha zaidi ya hiki ulichoandika hapa??Umesema yote. Ukweli mchungu
Mkuu hawajalogwa ni ule usemi ‘siasa ni mchezo mchafu’
Hakuna opposition ni stori tu watu wanajineemesha..
Jiulize kwa nini msaidizi ametulia.. yupo standalone ameona bora liende