Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ambapo Baraza hilo la Wanawake limesema ya kuwa linamchangia Mwamba Mbowe pesa ya kuchukulia Fomu kiasi cha Milioni moja na laki Tano. Ikumbukwe ya kuwa wana CHADEMA mbalimbali wameonyesha nia ya kutaka kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu.
Hii ni kwa kutambua kazi kubwa ya kihistoria aliyoifanya katika kuujenga upinzani hapa Nchini kwa jasho na Damu na kwa kutumia raslimali zake binafsi ili kukisimamisha chama na kukipa nguvu ya kuweza kuwafikia watanzania na kueneza sera zake.
Mwamba Mwenyewe Mbowe anaendelea kugusa mioyo ya watu wengi sana ndani na nje ya chama chake ambao wanamtakia kila la heri na ushindi katika uchaguzi huo ambao umeonyesha wengi kuwa na imani naye na kuhitaji utumishi wake kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Mwamba bado hajachukua Fomu ya kugombea lakini tayari ameshinda kwenye mioyo ya wana CHADEMA ambao wengi na kutoka kanda zote za kichama wameonyesha utayari wa kumuunga mkono hadharani kabisa bila wasiwasi wala hofu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.