Elections 2010 Mbowe Afanyiwa Fujo Kubwa Hai

Mbowe ni mtu hatari sana, ana hatarisha amani ya nchi hii kwa maneno yake ya kichochezi, na sasa ametuonyesha nia yake ya dhati ya kutaka kumwaga damu.

Mwakazi wa Hai mtoseni huyo hawafai, ila kura ya urais mpeni Dr.Slaa

bwa ha ha ha ha

Utahangaika sana mwaka huu. Mbowe yuko kwenye house - Hai.
 
Mbowe ni mtu hatari sana, ana hatarisha amani ya nchi hii kwa maneno yake ya kichochezi, na sasa ametuonyesha nia yake ya dhati ya kutaka kumwaga damu.

Mwakazi wa Hai mtoseni huyo hawafai, ila kura ya urais mpeni Dr.Slaa
Mimi nafikiri angemuwasha mmoja la makalioni ingefaa sana ili liwe fundisho kwa watu kama nyie mnaojifanya hamuelewi somo. Big up Mbowe next time usielekeze juu elekeze usawa wa mbuzi tuone kama Green guard watarudi, dawa ya moto ni moto.

Wao wanakuja kuchokoza kwa makusudi halafu watu humu wanatoa mapovu eti Mbowe kakosea, kwani bastora tunapewa za nini mapambo, kazi ya bastora ni pamoja na hiyo kutuliza ghasia na kujilinda na majangili kama hayo.
 
naona uchungu mwingi, wametuibia mali zetu, wametupa elimu duni, wameuza nchi yetu kwa wageni, tumegeuka watumwa ndani ya nchi yetu, wametulazimisha kuichangia ccm kwa kutukata kile kidogo tulichobaki nacho kwenye salio tunaloweka kwenye simu, kama haitoshi wanawafundisha vijana wao ili wapunguze na viungo vyetu dhaifu na damu zetu kidogo tulizobakiwa nazo, kura zetu wataiba, naona uchungu jamani.
 
Kwa sisi m kuanzisha vagi ni kitu cha kawaida. Jana wakati kuna mkutano wa Chadema mjini Bukoba ambako alikuwa katika kampeni Dr Slaa, kikosi cha mabounza wa sisi m wanaotembea na mgombea ubunge wao Hamis Kagasheki kilikuwa kikizunguka na gari kikitangaza mambo yao wakati wakijua wazi hawana ratiba ya mkutano wowote mjini kwa siku ya jana. Na wanafanya hivi wakipita karibu na mkutano wa Chadema.
Je kama chadema waki retaliate itakuwaje? Maana nondo na mapanga ni vitu vya kawaida ambavyo yeyote anaweza kuvibeba. Tabia hii ya uhuni isiruhusiwe katika kipindi hiki cha uchaguzi.
 
Sasa tunawaomba CNN, Al Jaazera, BBC, na wengine maarufu wahamie hapa Tanzania ili ulimwengu utambue hali halisi tuliyonayo. Mambo ya Palestina na Israeli au mahali pengine ndio kama haya, ila tu katika maeneo hayo vyombo vya habari vipo macho usiku na mchana, vikitujulisha kila linalotokea, hata akipigwa mtu mmoja kidogo tu, tutasikia. Tunaposikia habari hizo tunaonja ni jinsi gani watu wanakosa amani na utulivu. Basi, haya yameanza hapa hapa Tanzania. "Baba wa Taifa, tutazame wanao tunaangamia, ile nchi yako iliyosifika kama ni kisiwa cha amani, ipo mikononi mwa mafisadi, wauaji, wabinafsi na wenye uchu wa madaraka. Tunakukumbuka sana baba, tunatamani ungekuwa nasi leo hii, hali ingekuwa shwari."
 

Mbowe angekuwa na raha gani ya kuendelea na mkutano huku kijana wake na gari vilishatekwa na majambazi ya CCM?
 

Mbowe action was right, that was self defence, na ndivyo matumizi ya slaa yanavyo elekeza, piga hewani mara tatu kama bado adui anakufata basi mmalize kabla hajakumaliza, Hiyo inaitwa self defence na hakuna kesi mahakamani
 
Wakati anafanya fujo hivyo vyombo vilikuwa wapi...mpaka wanafiki stage ya kumhifadhi. Polisi wetu wanatu let down kabisa. Wamesababisha wezi kuchomwa moto siku hizi! na hawa GG, wamesajiliwa kama kampuni ya ulinzi au majambazi maalum wa CCM? maana kila nikisikia, wamefanya fujo..wamekata mapanga.

Halafu bado niichague sisi m?.....No way!
Bora nimchague mwanangu tu kuliko JMK
 
walikwenda musoma wakakata watu mapanga, hujasikia hilo?
Tarime hawawezi kwenda maana wanajua watapokea kipigo cha mbwa mwizi.

Hii ya Musoma imenisikitisha sana. Wanaowapikia fitna waumizane ni Watanzania tena tunaowajua. Wao wako wanawaangalia 'mafala' wanavyoumizana ilihali wao wanapiga mluzi...too sad kwa kweli
 
Hao greenguards na diwani wao wakamatwe na kuswekwa lupango. Anarchy and unleashing havoc is not acceptable
 
Well:

I said it before and I'm saying it now : Tanzania si nchi ya AMANI bali ni nchi ambayo imekuwa na UTULIVU muda mrefu!
 
Try to carefully understand the context. Walinzi wa ccm ndo mara zote waleta fujo chadema wanachofanya kujihami.

Hivi hao waliojeruhiwa musoma umesikia kulikuwa na chadema guard au ni green guard na viongozi na wagombea wa ccm?
 

Mbowe anaelewa siasa za hai, kwenye mkutano wake naamini polisi walikuwepo, na nina amini polisi waliarifiwa kuhusu tukio lile. Unafikiri angekuwa mwanaye, mkewe, au ndugu yake angeendelea na mkutano? Kitendo alichofanya Mbowe kwenda kuokoa mwanachama, mwananchi, na mfanyakazi wake ni cha kishujaa na cha kuenziwa kwani uhai wa mtu ni muhimu sana kuliko siasa. Tumeshuhudia CCM wakiteka watu na kuwauwa huko tarime, tumeshuhudia CCM ikakaa kimya kama haiwahusu. Sasa kwa kamanda Mbowe kwenda kuokoa maisha naona ni uungwana wa hali ya juu. Hai ni jimbo lenye miundombinu mizuri sielewi kwanini polisi walishindwa kuwatuliza hao green guard.

Muhimu ni kuwaeleza CCM siasa sio ugomvi, kwa nini watumie nguvu kushinda na kumwaga damu. Kwa nini Kikwete hatoi kauli kali dhidi ya CCM wenzake wanaotuhumiwa nakukamatwa kila siku wakiuuwa watu? Chama cha siasa kinachouwa hakifai kuongoza dola.
 
Acid,
Tunamtaka kiongozi anayetetea watu wake. Mkutano haukuwa na maana tena kama wanachama wake hakuwa salama. na kila mmoja anajua kwamba Polisi hawamjali yoyote aliye kinyume na ccm. kama wewe haupo upande wa ccm ujue hauko salama tena na hata kivuli chako unatakiwa usikiamini.
 
Philosophy yangu ni kama ya Israel - retaliation is a must! Green Guard maanake nini? JWTZ wanavaa kijani na hawa ni kijani?!
 
Tulikuwa tunashangaa wakati ule wafuasi wa ZANU-PF wanafavamia MDC wakati wa kampeni ......lakini mbegu ile ile inapandwa pole pole Tanzania,....Mara, Kilimanjaro etc ....
 
Hicho ndicho ccm wanachokitaka ili waendelee kuwepo madarakani lakini safari hii wakiwa na seria ya kuwashughulikia wapiganaji wa msituni. Mnaijua ccm au hamuijui. wapo radhi watu wafe ili wapate uhalali wa kuendelea kutawala.

Wewe MPUUZI usidandie assumptions zetu ukidhani ndio msimamo. Bali unategemea nini unapoondoa kifuniko cha grenade? utalilaumu bomu kwa kulipuka au utajilaumu kwa kulipua bomu?
You know what? you are another scam and crap like the rest. I mean JK na CCM yake

kama ndivyo basi tuamini kwamba polisi hawajaiva na lile jando la uchaguzi 2005. Na akina SHIMBO wanajua kinachoendela lakini wanasubiri wapinzani wareact ndipo waanze kuwashughulikia. hawajui kwamba arushaye risasi ya kwanza ndiye hugeuza historia.

hahaha haha mambo ya Mke bana we acha tu. lakini hebu njoo ujaribu kwa mke wangu uone jinsi ambavyo utakavyo zaa baada ya miezi tisa ya kulea mimba tumboni kwako. na utanizalia mtoto wa kiume hahahaah.
Ni kweli kwamba CCM wameanzisha vurugu. wanaanzisha chaos ili wapate uhalali wa kuvuruga uchaguzi hata kuhairisha. tutumie busara zetu tunapodeal na WAPUUZI kama hawa CCM. Kwa nini tusiwashtaki kwenye umoja wa mataifa kuwa wanahatarisha maisha ya WATANZANIA kwa kumiliki jeshi na kuendesha matendo ya kigaidi dhidi ya RAIA? tuwashinde kwa hoja hata kama wakileta vioja. Gharama ya demokrasia ni kuvumilia na kuamini kwamba tutafika. ila tukiingia kwenye mtego wa kuchokozwa na kureact basi mjue sisi hatutakuwa tofauti na wao.
mambo ya siasa yana tofauti kubwa na mambo ya kifamilia. njoo umuwowe mke wangu uone utakavyopata VIP treatment. siendi polisi ingawa watanibembeleza niwauzie kesi lakini nitakupachika mimba walah.

hahahahaha hahaha. alifanya busara kupiga hewani. naamini anamiliki kihalali. Nakubaliana nanyi kwamba alifanya jambo sahihi kwa wakati ule mahala pale, lakini mimi nikiangalia mbali zaidi ni kwamba hata hao wanaccm tunawahitaji sana wawepo hai wakiona na kushiriki kuijenga nchi kwa sera na ilani za CHADEMA. Ila twende mbali zaidi kwa kuwashinikiza vyombo vya usalama vifanye kazi zao bila kujali sura wala makalio ya mtu.

Kama polisi walikuwepo na kuwa walishindwa kudhibiti chanzo cha vurugu na wakashindwa kwenda kumtoa aliyetekwa na ccm, basi ni clear picture kwamba maafisa wa polisi ni WARATIBU wa hizi chokochoko zinazofanywa na ccm. Amini nakwambia.

UwT ndio pekee watakaotenda haki hapo maana jamaa wale wanajua kazi yao kisaikolojia na kiuwezo. Ila wanapaswa kuwa huru kisheria zaidi maana nadhani they are watching what is going on but wamepigwa stop na sheria kuingia ndani zaidi kushughulikia kivitendo matendo yanayohatarisha usalama wa nchi. CCM wajanja sana maana walipogundua kuwa TISS wanaweza kuwa ni kikwazo cha wao kutawala milele wakaamua kuwatungia marekebisho ya sheria inayowabana zaidi. Tupige kelele kuwa TISS iwe huru na isijiafiliate na sera za vyama wala vyama bali maslahi ya nchi zaidi na wapewe meno ya kuvunja mifupa.

Nadhani CCM wanataka kuiangamiza nchi na wapo tayari kwa hilo kwani wana mapandikizi yao kwenye mfumo mzima wa nchi na wapo radhi kumwaga damu kutengeneza uhalali wa propaganda zao.
 

Kama kuna vita vitapiganwa nchi hii, basi vitaanzishwa na CCM.

Watanzania watapiga KURA ZA HASIRA Oktoba 2010. Bwana Mbowe wala usiwe na shaka. Lazima utinge Mjengoni.

DR. SLAA FOR LIFE!!!
 

habari hii ni muhimu sana kwa mustakabari wa taifa letu,lakini wewe mwandishi ni mtu hatari kwani taarifa ni scewed against one tz community. Katika maelezo yako unaonyesha kuwa gguard wamekuwa trained lakini pia umeonyesha kuwa jeshi la chadema walishinda vita hii,tueleze wamepata mafunzo wapi. Isije ikawa huyo kijana unayedai alitumwa kama chambo ni maskini mmoja tu aliyezawadiwa fulana ya ccm na yeye bila kujua akatinga nayo ndani ya mkutano wa chadema, chadema nao wakaamua kumsurubu: tumeona wahanga wengi wa namna hii na tutaendelea kuona wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…