Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

Mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi fanya maamuzi sasa usiangalie mtu au chama sera na dira je inalikomboa taifa


Kapuku mimi
 
Sasa hivi Sumaye mko naye humo humo hamjamuhoji?
 
Auzwe yeye kulipa deni
 
Dawa ya deni ni kulipa! Sasa kama Mbowe alikopa alipe! period!


Yaani nyie ni wajinga jinga hata biashara hamjui. Utachukuwa 1.2B kutengeneza jengo ambalo sio lako??!! Hilo jengo limevujwa na Mbowe? Kama sio hivyo unataka kutuaminisha alikopo 1.2B kutengeneza jengo la kukodisha wakati hiyo pesa ingemtosha kwa wakati ule kutengeneza jengo mpya tena kubwa zaidi ya lile?? Tatizo ukiwa makini njaa kila ukiona pesa unafikiri ni wizi?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€mkuu vita inaendeleaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…