Mapendano ya Mbowe na Mama hayo.

Mwenyekiti wa chama chako yupo ndani kwa kesi ya uhaini wewe unaenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa, sawasawa.
Kwa hiyo ulitakaje? Wakati Mbowe yupo rumande kesi ya Ugaidi nani alipambana naye?
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
​
Jamaa ana hasira ya kushindwa umwenyekiti sana, πŸ˜…πŸ˜… Dira ya Maendeleo yupo, mahakamani kwa Lissu haendi, anafanya vizuri sana kujionesha rangi yake halisi
 
Kwanini haendi kwnye kesi ya Lisu?
 
Mapendano ya Mbowe na Mama hayo.

Mwenyekiti wa chama chako yupo ndani kwa kesi ya uhaini wewe unaenda kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa, sawasawa.

Mbaya zaidi, Kwenye kusikiliza na kufatilia kesi ya mwenyekiti wako, Hatukuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…