LGE2024 Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

LGE2024 Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Namshauri Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

Mwenyekiti asitafute kisingizio kingine, anachotakiwa ni kujiuzulu kwa maslahi ya Chama.
 
Mbowe hawezi jiuzulu sana sana ataleta poroja zake za kila sku ccm wameiba kula, mawakala wetu walitolewa vituoni kwa ufupi mbowe ni kachelo wa Ccm na iyo ndo kaz yake ndan ya chadema
 
Kwani kiongozi wa chauma nae kashinda? Kwanini na huyo asijiuzulu?
 
Namshauri Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Mwenyekiti asitqfuta kisingizio kingine, anacho takiwa ni kujiuzulu kwa masilahi ya Chama.
Mbowe asipojiuzulu analaumiwa kwa kutojiuzulu, akijiuzulu analaumiwa kwa kujiuzulu.

Ngoma yake ngumu sana.
 
Namshauri Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Mwenyekiti asitqfuta kisingizio kingine, anacho takiwa ni kujiuzulu kwa masilahi ya Chama.
Akili zingine hizi, walikuwa wanachagua ni wananchi
 
Back
Top Bottom