Msibani kila mtu aje na kadi, nje ya kadi ya chadema huyo asikarish. msibaniMy point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Same same walichoongea Chadema kwenye msiba wa Magufuli.My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Sasa ujinga gani huu umeandikaccm sio mbuzi kama hao wengine.
wale wengine amefariki magufuli wanapost maombolezo eti watu wa kupsombwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na CCM mtapata pigo lingine,pigo moja tu,pigo lililonyooka pigo takatifu mpaka mtie akili. Mungu hadhihakiwi kamwe.Chadema na Wewe mleta mada si mnajua mlichoongea Magufuli alipokufa humu Jamii forums? Na Mbowe akifa mtarajie CCM kupngea Mara Mia ya sawasawa na maneno yenu mliyoongea humu Magufuli alipokufa period.
Mlichopanda kwa Magufuli alipokufa ndicho mtavuna Mara mia
Kwanza Mbowe hata kwenye mazishi hakukanyaga
Hata Magu mlisema yupo hadi 2040. Mungu hadhihakiwiMama hafi leo wala kesho. Huyu unaye hadi 2035
Kwani ccm wanakosaga cha kusema. Wamepata cha kusema kwa maalim seif ndio huyo mbowe hata kama ana shutuma ya ugaidi? Ujue hakuna binadamu mwenye kukosa mazuri hata kama kidogo kiasi gani😂My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Shetani hakuwa magufuli tu. Wako wawezeshaji wengi sana wanufaika na mfumo haramu wa kiutawala nchi hii.My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Bora mpango mama weledi wake hautoshi. Ila tumwombee mama maana hapo ni washauri ndio kitu kinaweza msaidia kuongoza nchi bila fisadi kuitia mkononi kwao tena.Then atachukua Dr. Mpango, Mama ananafuu kuliko huyo
Kama walivyosema kwa Maalim SeifMy point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Watanzania kwa Unafiki si unawajua....!!! Unakumbuka Magu alivyotinga kwenye msiba wa Kaka yake Mbowe akapiga mpaka Sara. Unakumbuka jinsi Makonda alivyojipeleka kwenye msiba wa Kawe na kufiliki kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.... Bongo ni kituo cha unafiki.My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Marehemu hasemwi vibayaMy point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?
Mtu mliyemfilisi, mkavunja Billicanas yake, mkafyeka shamba lake la mbogo, mkafunga account zake, na sasa yupo gerezani najua mtamfunga.
Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Mtu kawa Mbunge Zanzibar, kawa waziri Zanzibar, kawa Waziri serikali ya Muungano, kawa M/Mkiti bunge la katiba, kachaguliwa kuwa M/Rais two times tena na mtu mtata kama JPM, and wewe unasema anauwezo mdogo? Hivyo vyeo alivyoshika ni ndoto ya kila mtu dunia hii, pole sana Mkuu, sidhani hata kama unaweza kumsogelea meter 100Bora mpango mama weledi wake hautoshi. Ila tumwombee mama maana hapo ni washauri ndio kitu kinaweza msaidia kuongoza nchi bila fisadi kuitia mkononi kwao tena.