Mbowe akifariki, CCM mtaongea nini kwenye msiba wake?

Kwa hali ilivyo siamini kama atakuwa tena sawa shida zimemtesa mno.
 
Chadema na Wewe mleta mada si mnajua mlichoongea Magufuli alipokufa humu Jamii forums? Na Mbowe akifa mtarajie CCM kuongea Mara Mia ya sawasawa na maneno yenu mliyoongea humu Magufuli alipokufa period.

Mlichopanda kwa Magufuli alipokufa ndicho mtavuna Mara mia

Kwanza Mbowe hata kwenye mazishi hakukanyaga
 
Mama hafi leo wala kesho. Huyu unaye hadi 2035
 
Msibani kila mtu aje na kadi, nje ya kadi ya chadema huyo asikarish. msibani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Same same walichoongea Chadema kwenye msiba wa Magufuli.
 
ccm sio mbuzi kama hao wengine.

wale wengine amefariki magufuli wanapost maombolezo eti watu wa kupsombwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sasa ujinga gani huu umeandika
 
Tutamsifu kama mwanademokrasia wa ukweli, shujaa aliyesimama mbele katika kuimarisha mfumo wa vyama vingi..sisi hatunaga dogo linapofika kwenye suala la unafiki😆
 
Na CCM mtapata pigo lingine,pigo moja tu,pigo lililonyooka pigo takatifu mpaka mtie akili. Mungu hadhihakiwi kamwe.
 
Kwani ccm wanakosaga cha kusema. Wamepata cha kusema kwa maalim seif ndio huyo mbowe hata kama ana shutuma ya ugaidi? Ujue hakuna binadamu mwenye kukosa mazuri hata kama kidogo kiasi gani😂
 
Shetani hakuwa magufuli tu. Wako wawezeshaji wengi sana wanufaika na mfumo haramu wa kiutawala nchi hii.
 
Then atachukua Dr. Mpango, Mama ananafuu kuliko huyo
Bora mpango mama weledi wake hautoshi. Ila tumwombee mama maana hapo ni washauri ndio kitu kinaweza msaidia kuongoza nchi bila fisadi kuitia mkononi kwao tena.
 
Kama walivyosema kwa Maalim Seif

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania kwa Unafiki si unawajua....!!! Unakumbuka Magu alivyotinga kwenye msiba wa Kaka yake Mbowe akapiga mpaka Sara. Unakumbuka jinsi Makonda alivyojipeleka kwenye msiba wa Kawe na kufiliki kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.... Bongo ni kituo cha unafiki.
 
CCM mshipa wa aibu ushakatikaga...hawakosi cha kuongea
 
Marehemu hasemwi vibaya

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa machadema Mbowe hawezi kufa!
 

alisaidia sana mapato ya KIWINGU kupatikana kwa wingi
 
Bora mpango mama weledi wake hautoshi. Ila tumwombee mama maana hapo ni washauri ndio kitu kinaweza msaidia kuongoza nchi bila fisadi kuitia mkononi kwao tena.
Mtu kawa Mbunge Zanzibar, kawa waziri Zanzibar, kawa Waziri serikali ya Muungano, kawa M/Mkiti bunge la katiba, kachaguliwa kuwa M/Rais two times tena na mtu mtata kama JPM, and wewe unasema anauwezo mdogo? Hivyo vyeo alivyoshika ni ndoto ya kila mtu dunia hii, pole sana Mkuu, sidhani hata kama unaweza kumsogelea meter 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…