Mbowe akifariki, CCM mtaongea nini kwenye msiba wake?

Tutamsifu kama mwanademokrasia wa ukweli, shujaa aliyesimama mbele katika kuimarisha mfumo wa vyama vingi..sisi hatunaga dogo linapofika kwenye suala la unafikišŸ˜†

vp kuhusu swala la mapato DOUBLE KICK
 
Sifa zao za unafiki uliopevuka huwa haziwafanyi kuwa na haya. Watamsifia kama kwamba walimthamini kuliko mtu yoyote.
 
Huyu huyu ambaye hukumu ya kumfunga iko ofisini kwake ndiye atakuwa wa kwanza kumpamba kwa maneno ya kinafiki. Ila hisia zangu zinaniambia atatangulia yeye hata kabla ya hiyo hukumu kusomwa. Tuzidishe dua tu Mungu atajibu tena.
Daaa
 
Akifariki itasemwa Pengo lake halitazibika, alikuwa Mzalendo, mwaminifu, msema kweli n.k



Tutatoa mfano alivyoenda kugonga Kahawa na visheti wakati wa Bunge la Katiba kuleta maridhiano pamoja na mchango wake kuinua Wanawake kwny Siasa tutawataja kina Joyce Mukya, Halima Mdee n.k


Hotuba za msiba unaomhusu mwanasiasa huwa tunabadili Personal particulars pekee, mengine ni control C contro P
 
Daaa[emoji1]
 
Kwi kwi kwi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tutamsifu kama mwanademokrasia wa ukweli, shujaa aliyesimama mbele katika kuimarisha mfumo wa vyama vingi..sisi hatunaga dogo linapofika kwenye suala la unafiki[emoji38]
Au siooooo
 
Je Sabaya akifariki chadema mtaongea nini mlikuwa mnafurahia Sabaya kuteseka na yeye ni binadamu kama mbowe
 
Hakuna mwenye uhakika kama kabambikiwa hiyo kesi..mbowe ni binadam mwenye matamanio yake pia na ndiyo maana hata kwenye chama chake hapajawah kuisha malalamiko ya kuwa mbowe anakingiuka miiko ya uenyekit..mfano kashfa ya ngono kwa wabunge wakike, rushwa, hivi karibuni tulisikia wabunge waliotoka walivyosema mapungufu yake tunajuaje na hili hakufanya?
Na kama kweli pia kabambikiwa itakua kuna sababu mfano aliambiwa aachane na kudai katiba ye akakaza kamba kwamba katiba mpya lazima tena lazima leo, jaman kwani hakujua kama mama ndiyo kwanza kaingia madarakan anahitaj kwanza kupewa muda? Yaan kuingia tu madarakan mnataka katiba mpya hiyo bajet mlimpa nyie? Mnajua nchi ilivyoachwa? Mbona kipindi cha magu mlikua hamlet kelele? Au mmemuona mama kitonga? Tulien!!

Halaf mbona sisikii tena katiba mpya mkiidai? Mbona gafla kipaumbele chenu ni mbowe siyo gaid? Ndiyo mjue sasa kipaumbele cha mama ni kujenga nchi kabla ya kuleta katiba mpya.mjifunze kwenu kwanza
 
Mama hafi leo wala kesho. Huyu unaye hadi 2035
Mitano tena.

Laiti mzee yule Angepata nafasi ya kurudi halafu aje asikie hii kauli, angetufokea sana kama ilivyokuwa kawaida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…