Mbowe akifariki, CCM mtaongea nini kwenye msiba wake?

Mboe aliongea mbovu sana mara baada ya kifo cha hayati Magufuli, yaani ni kama vile yeye hawezi kufa.
sikiliza hadi mwisho.
ukisikiliza kwa makini utajua kweli huyu jamaa kweli alikuwa gaidi, wewe msikilize anavyo ongea na ushauri wake kwa Rais wa sasa juu ya masuala ya ulinzi......eti asijiwekee ulinzi kama wa Hayati Magufuli.



 
Huyu huyu ambaye hukumu ya kumfunga iko ofisini kwake ndiye atakuwa wa kwanza kumpamba kwa maneno ya kinafiki. Ila hisia zangu zinaniambia atatangulia yeye hata kabla ya hiyo hukumu kusomwa. Tuzidishe dua tu Mungu atajibu tena.
[emoji102]
 
Fara kabisa
 
Ccm tutaongea kuwa tulimpenda Sana mboe lakini mungu kampenda zaidi kupitia njia ya ugaidi
 
….. alikuwa mtu mbaya sana, ona alikula ruzuku ya chama kilochokufa, alitoa viti maalumu kwa vyupi, yaani alikuwa dikiteta mkubwa maana hakutaka kuachia uenyekiti na kapoteza wengi kwa sababu ya kuutaka uenyekiti wa ngo yake.
 
Yaani kwa sababu mbowe alishindwa kumheshimu Dkt Magufuli enzi za uhai wake mpaka kumdhihaki akiwa marehemu, hakika alishajiondolea nafasi ktk mioyo ya watanzania. Mbowe ni kapi, afungwe na afie jela kabisa. Ni mnafiki na muongo muongo. Wana CCM na watanzania hatumpendi mno. Labda aombe msamaha, bado muda anao.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumheshimu , mwizi,muuwaji, mbaguzi, mshamba,mtekaji
 
Kwa hiyo Mbowe akifa sawa tu.Mpumbavu sana huyu!
 
Watavaa uso wa mbuzi na kutoa pole na sifa za kinafique
 
My point is kila binadamu ataonja mauti. Hivi Mbowe akitangulia Mbele ya haki, CCM mtaongea nini?

Je, akifa mtahudhuria msiba wake? Mtaongea nini kwa huyu mwamba siku akiondoka?
Mkuu Cathelin , please achana huu uchuro!. Kuna kauli nyingine huumba!.

Angalia usije kujikuta kumbe na wewe ni mtu wa kundi hili bila kujijua
P
 
#Chura afadhali umelipigia mstari jibu sahihi.

Hawa jamaa wao wanaangalia upande mmoja tu wa shilingi na ule upande wa pili wa shilingi wanajitia upofu kuuona.

Pia wakumbuke kuhusu akaunti zake,kuna wakati mbunge mmoja alisimama bungeni Mh Godwin Mollel akapasua mbarika kwamba kulikuwa na mgogoro wa kifamilia kuhusiana na hilo na ndio hao walikuwa wameweka sitisho.

Mbowe binafsi hakuwahi kujitokeza kulikanusha hilio tangia hapo.
 
Well said @YEHODAVA,umepiga kwenye Bull Point!
 
Na CCM mtapata pigo lingine,pigo moja tu,pigo lililonyooka pigo takatifu mpaka mtie akili. Mungu hadhihakiwi kamwe.
Labda Kwa sababu nyinyi ni magaidi uwezo huo mnao.hatuwezi kuwabishia
 
Huyu huyu ambaye hukumu ya kumfunga iko ofisini kwake ndiye atakuwa wa kwanza kumpamba kwa maneno ya kinafiki. Ila hisia zangu zinaniambia atatangulia yeye hata kabla ya hiyo hukumu kusomwa. Tuzidishe dua tu Mungu atajibu tena.
Hii umeandika kinazi sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…