Mbowe akija kuwa Rais, Itakuwaje kwa watesi Wake?

Huitaji kuambiwa. Tabia za malaika na shetani zinajulikana. Kwa matendo yao mtawatambua. Matendo ya Mbowe na ugaidi wake tunautambua, ndiyo maana sasa hivi ananyea ndoo gerezani.
IMG_20210821_093125_815.jpg

Kuna kiongozi wao hapo kajaa tele
 
Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko.

Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu.

Mungu si Athumani hivi nyote hata bila kuyataja majina yenu mnazijua hatima za watu wote?

Au ni yale yale ya kumlaumu Hamza Kasongo bila ya kuwa na neno lolote kwa madhulumati?

Dunia huzunguka na aliyekupa wewe leo ni huyo huyo aliyemnyima mwingine leo. Kwanini kutengeneza mazingira ya unasema wa kudumu?

Kwanini tusiwatendee wengine yale tu ambako tungependa wenyewe kutendewa?
CHADEMA SIO CHAMA CHA VISASI, japo binafsi nimuomba Kama Rais anipe watu 10 wa ccm niwachape viboko, hasa wa kwenye vyombo vya ulinzi nikimtoa MABEYO, MAGEREZA, UAMIAJI
 
Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko.

Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu.

Mungu si Athumani hivi nyote hata bila kuyataja majina yenu mnazijua hatima za watu wote?

Au ni yale yale ya kumlaumu Hamza Kasongo bila ya kuwa na neno lolote kwa madhulumati?

Dunia huzunguka na aliyekupa wewe leo ni huyo huyo aliyemnyima mwingine leo. Kwanini kutengeneza mazingira ya unasema wa kudumu?

Kwanini tusiwatendee wengine yale tu ambako tungependa wenyewe kutendewa?
Atasamehe kama Mandela!!
 
Kwa jinsi alivyokaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa cdm huyu mwamba akiwa rais anaweza kuwa paul biya yule rais wa cameroon
 
Kiukwel mkuu ,hii ni ndoto ya alinacha
 
Back
Top Bottom