Mbowe akimbilia kwenye Maombi kurudisha mioyo ya wanachadema

Mbowe akimbilia kwenye Maombi kurudisha mioyo ya wanachadema

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
Ni Maombi ya kurudisha Mioyo ya Wanachadema Wamrudie Baba Yao

Kweli hali ni Mbaya kwa Mwamba, amekacha kwenye Mdaharo kaibukia kwenye Maombi, kama alivyoibukia Ikulu wakati watu wanamsubili mahakamani

Hakika Buyu la Asali limeguswa
20250117_195123.jpg
 
Haamini, nikikumbuka slogan ya mwanzo kua,"UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA"[emoji1787]
Walikua wanajiamini sana, Mzee alikua anajiona yeye ndo Chadema wafuasi wote wa Chama wanampenda yeye peke yake na kumuamini, ahamini alichokiona
 
Ni Maombi ya kurudisha Mioyo ya Wanachadema Wamrudie Baba Yao

Kweli hali ni Mbaya kwa Mwamba, amekacha kwenye Mdaharo kaibukia kwenye Maombi, kama alivyoibukia Ikulu wakati watu wanamsubili mahakamani

Hakika Buyu la Asali limeguswaView attachment 3204644
Mbowe apumzike acheni kumpa Mungu mitihani
 
Back
Top Bottom