Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Mambo yao waachie wenyewe
Ni ya kweli Mwamba anaenda kupokea upakoDuu! Ni ya kweli hii au imetengenezwa?
Walikua wanajiamini sana, Mzee alikua anajiona yeye ndo Chadema wafuasi wote wa Chama wanampenda yeye peke yake na kumuamini, ahamini alichokionaHaamini, nikikumbuka slogan ya mwanzo kua,"UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA"[emoji1787]
Mkunja Ngumi rudisha muoyoKuchafuana Tu Huko
Mbowe apumzike acheni kumpa Mungu mitihaniNi Maombi ya kurudisha Mioyo ya Wanachadema Wamrudie Baba Yao
Kweli hali ni Mbaya kwa Mwamba, amekacha kwenye Mdaharo kaibukia kwenye Maombi, kama alivyoibukia Ikulu wakati watu wanamsubili mahakamani
Hakika Buyu la Asali limeguswaView attachment 3204644