Ukiona sehemu ya kazi, Kuna mtu hata ifike likizo huwa aendi ,anataka aendelee kufanya kazi tu...huyo sio kuwa ni mchapakazi,hapana ana madhaifu ambayo hata akienda likizo wiki tu,yataonekana kwa watakaokuwa wanasimamia kazi zake anazozifanya kwa muda ambao hayupo.
Ogopa mtu anaekwepa likizo ukiwa bosi.
Mlazimishe aende likizo,na kazi zake amwachie mtu kwa huo muda,utashangaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.