Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

Ukweli ndio huo mahakama inavujisha documents kwa mashahidi wa jamuhuri ili kuchezea ushahidi!? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
Huyo kwenye hilo fuvu lake kuna usaha na funza badala ya ubongo.
 
Huyo ni pimbi kabisa,eti wamejipanga,ujipange kisha uingie na diary.Huyo shahidi wenu alidhani anakwenda kuhutibia.
 
Tariq Aziz enzi hizo za Iraq ilipokuwa inapigwa na majeshi ushirika (US &UK) alikuwa hivihivi kwenye media kujifariji kuwa majeshi ya Iraq yatasambaratisha majeshi ya uvamizi. Mwisho wa siku Sadam akadakwa na kupigwa kitanzi. Sasa nyie mnajifaji eti Jamhuri imejipanga vizuri wakati hakuna kitu.
 
Sabaya Gang kazini
 
Umeandika upuuzi mtupu, unalazimisha nyekundu kuwa kijani kitu ambacho hakiwezekani. Kukariri uongo ni shida sana. Mapoti waliotoa ushahidi walikuwa pamoja muda mwingi ktk upelelezi wao lakini kny ushahidi wao wanapingana kwa mambo mengi sana, mfano mazingira walipowakamata watuhumiwa poti mmoja anasema walikuwa grocery wakinywa bia, mwingine waliwakuta wakinywa supu na mama mbege nae alisema walikuwa wanasajili line. Pia katila safar yao kuja dar mmoja anasema gari ilipata pancha na mwingine anasema ilikuwa ni hitilafu ya umeme. Naungana na Mh Tundu Lissu aliposema poti wetu kny kesi hii ni mabogaz hamna kitu kichwani. Na pia ulieandika uzi huu uelewa wako ni kama wa yule mama mbege alietoa ushahid wake majuzi
 
 
Mbona unatoa povu sana
 
Ingekuwa unafuatilia hii kesi usingeogea haya naona Ni mshambuliaji wa ccm,pia wewe sio mwansheria usipotoshe watu kuwa mawakili wa serikali wamejipanga,kiuhalisia mawakili wanabebwa na ccm,lakini ukisikiliza mahojiano ya mashahidi walioandaliwa wote Ni kukalilishwa ndio maana wanakili hata wao kesi hii Ni ya kutengeneza.
 
Badilisheni hizi hoja zenu dhaifu
 
Pingamizi la diary limefikia wap?
 
Hii kesi inafaida gani kwa mlipa kodi anaeishi nyumba ya nyasi.
 
Sukuma Gang akijipa matumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…