Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

Hii kesi kumfunga Mbowe labda kwa uonevu, mabavu na kwa kumridhisha shetani tu, Kesi hadi sasa haina msingi kabisa wa kuteketeza fedha za walipa kodi
 
Hii kesi kumfunga Mbowe labda kwa uonevu, mabavu na kwa kumridhisha shetani tu, Kesi hadi sasa haina msingi kabisa wa kuteketeza fedha za walipa kodi
Elimu ya bongo ni mbovu, ila ni vizuri tuwe na viongozi waliofaulu kwenye hiyo hiyo elimu mbovu kuliko kuwa na vilaza ambao kila wanachoshauriwa wanakipokea kama kilivyo bila hata kukipa second thought.

Kesi ya Mbowe ni matokeo ya kuwa na viongozi vilaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh, matiganga yapo mengi
 
Wanasheria wasomi wenyewe wanamtazamo tofauti na wa kwako.Tuweke hisia na ushabiki pembeni,mwenendo wa kesi unaonesha Shaka Sana juu ya ukweli wa kesi yenyewe.Time will tell
 
Wanasheria wasomi wenyewe wanamtazamo tofauti na wa kwako.Tuweke hisia na ushabiki pembeni,mwenendo wa kesi unaonesha Shaka Sana juu ya ukweli wa kesi yenyewe.Time will tell
Tulipo ambiwa Mbowe ana kesi ya ugaidi,watu hatukutegemea kufika kote huku bila kuona angalau chembe za ukweli wa wazi kuhusu huo ugaidi.Tulijua tayari kuna wajumbe wa vikao mbalimbali vya kupanga hizo njama ambao ni mashahidi.Tulitegemea ushahidi kutoka kwenye makampuni ya simu wakitoa facts za wazi juu ya mawasiliano yanayoelezea hizo njama.Sasa ni wazi kuwa hata kama hizo njama zilikuwepo,basi hatuna uwezo katika medani za upelelezi WA kesi za ugaidi.kama ni hivyo,basi Bora tungeomba msaada Kwa wabobezi huko nje ya nchi.Vinginevyo tunajivua tu nguo na sasa imebakia kuita mashaidi wa hovyo,wanaokiri hadharani kuwa hawakuona Alama za kiuhalifu [emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…