Pre GE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

Pre GE2025 Mbowe akishinda uenyekiti CHADEMA, hali kwenye mikutano ya hadhara itakuwa hivi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
20241226_210848.jpg

USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
 
Wenje anagombea na nani nafasi hiyo? .kundi la mbowe linajulikana ni akina boni yai, ntobi, sugu, je kundi la lissu ni akina nani?
 
View attachment 3185818

USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.

Lisu achukue nafasi, mara tu baada ya uchaguzi, kazi ya kukiunganisha chama inaanza. Simba ni king of a jungle!
 
Ambako ndimo chadema wengi wenye akili wamo humo, mbowe anaungwa mkono na wajinga!.
Jitu limekaa madarakani miaka 21 ana kipi kipya cha kutu offer tena?!.
Kachuja, kachoka!!.
Na hao wenye akili wengi sio wapiga kura
 
Back
Top Bottom