Mbowe akishindwa uchaguzi atabaki kama mjumbe wa kamati kuu. Je Tundu Lissu?

Mbowe akishindwa uchaguzi atabaki kama mjumbe wa kamati kuu. Je Tundu Lissu?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Sijui katiba inasemaje imenshtuaa

Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo

Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje?

MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu

Alipoulizwa vipi kuhusu Tundu Lissu akishindwa akajibiwa atabaki kuwa mwanachama WA kawaidaaa

Hivi kipengele cha kubaki kamati kuu kinatokea wapi

Na vipi MMOJA akishindwa anabaki mwanachama
anakuwa Badoo mjumbe wa kamati kuu?

Kwenu wanasiasaaa
 
Sijui katiba inasemaje imenshtuaa

Leoo wakati ODEMBA WA star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo

Vipi mbowe MH akishindwa I akuwaje

MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu

ALipiuliza vipi t.lissu akajibiwa atabaki kuwa mwanachama WA kawaidaaa

Hivi kipengele cha kubaki kamati kuu kinatokea wapi

Na vipi MMOJA akishindwa anabaki mwanachama

Mwingine ANAKUWA Badoo MJUMBE WA kamati kuuuu??

Kwenu wanasiasaaa
Kwa mujibu wa katiba, Mwenyekiti wa Taifa mstaafu anakuwa mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu. Lissu kama akishindwa atabaki kuwa mwanachama wa kawaida tu.
 
Akishashindwa tu uchaguzi aripoti haraka sana katika tawi lake ili wamshughulikie kwa maneno yake ya kubeza viongozi wenzake sababu atakuwa mwanachama wa kawaida na tawi linaweza kumchukulia hatua za kinidhamu kama litaona ana kosa.
 
Akishashindwa tu uchaguzi aliport haraka sana katika tawi lake ili wamshughulikie kwa maneno yake ya kubeza viongozi wenzake sababu atakuwa mwanachama wa kawaida na tawi linaweza kumchukulia hatua za kinidhamu kama litaona ana kosa.
Subiri sindanoo iwaingie
Either ashindwe ama ashindwee n BALAA linakujaa
 
NDIO MAANA WAJUMBE WANAWAJIBU WA KUMCHAGUA KAMA WANATAKA AFANYE KAZI YA UJENZI WA CHAMA
 
Back
Top Bottom