Kwa mujibu wa katiba, Mwenyekiti wa Taifa mstaafu anakuwa mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu. Lissu kama akishindwa atabaki kuwa mwanachama wa kawaida tu.Sijui katiba inasemaje imenshtuaa
Leoo wakati ODEMBA WA star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo
Vipi mbowe MH akishindwa I akuwaje
MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu
ALipiuliza vipi t.lissu akajibiwa atabaki kuwa mwanachama WA kawaidaaa
Hivi kipengele cha kubaki kamati kuu kinatokea wapi
Na vipi MMOJA akishindwa anabaki mwanachama
Mwingine ANAKUWA Badoo MJUMBE WA kamati kuuuu??
Kwenu wanasiasaaa
Subiri sindanoo iwaingieAkishashindwa tu uchaguzi aliport haraka sana katika tawi lake ili wamshughulikie kwa maneno yake ya kubeza viongozi wenzake sababu atakuwa mwanachama wa kawaida na tawi linaweza kumchukulia hatua za kinidhamu kama litaona ana kosa.