Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Mimi sitarajii huyo Mama kuruhusu mambo ya katiba mpya au tume huru ya uchaguzi...Wameuchukua ushaur wako kwa sabab jamaa wamenusa kuwa Bi Mkubwa ni mwepes kumtikisa lkn km Bi Mkubwa akikaza bila shaka 25 hasusi MTU.
Thanks Coco 😉🤩🤩🤩🤩🤩💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
Upo Juuuuu👏🏼👏🏼👏🏼
Kaka Mbeba Maboksi..
Maneno yako kivipiHey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na mwenyekiti wa CCM.
Ni uamuzi rahisi sana ambao hauna ugumu wowote ule.
Soma hii mada yangu ya mwaka jana [na ninazo kadhaa zenye maudhui yafananayo].
Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?
Swali kwa wapinzani. Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini? Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini? Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana. Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje...www.jamiiforums.com
Sasa leo inasemwa kuwa Mbowe naye kasema kuwa kuanzia sasa hawatashiriki tena chaguzi mpaka hapo kutapokuweko walau na tume huru ya uchaguzi. Rejea uzi huu hapa chini...
Mbowe: Hatutashiriki (CHADEMA) tena Uchaguzi wowote! Bado mifumo na Wasimamizi ni walewale
Ifikie hatua na Mbowe apishe damu mpya kwenye uongozi wa chama, ameshachafuliwa sana kwa tuhuma mbalimbali zinazokatisha tamaa sisi tusiokuwa makada kindakindaki wa vyama vya siasa. CDM ina hazina kubwa sana ya watu, mzee akubali tu kubaki mshauri wa chama.www.jamiiforums.com
Nikisema sasa Freeman Mbowe anakubaliana na Nyani Ngabu au Freeman Mbowe aukubali ushauri wa Nyani Ngabu, nitakuwa nimekosea?
Oh...halafu majuzi hapa Tundu Lissu katumia maneno yangu pia [emoji6]
Heheheeee.....I’m just sayin’
Unajua kuna watu bado wana underate ukatili na consolidated power ya CCM.Atasimamia alichosema?
HV ili tume iwe huru muundo wake wa utawala unapaswa kuwa VP na watendaj wake wanapatikana vpMimi sitarajii huyo Mama kuruhusu mambo ya katiba mpya au tume huru ya uchaguzi...
Yes ,flowers for the prettiest girlHahahaa! Thanks my guy!
It’s about time these mofos start giving me my flowers [emoji259]
Unaamin Bi Mkubwa arekebishe hizo sheria ili ufipa watoboe!!!mama asipobana katika uhuru wa uendeshaji wa hii vyama,na hasa akairekebisha ile sheria ya uchaguzi na sheria zote kandamizi zinazohusiana na uchaguzi,basi nina uhakika in the near or far away future CHADEMA watatoboa.
Pia sheria zote zinazogusa maswala ya uendeshaji wa vyama vya siasa,zisipobadilishwa,wasiofu wabaki na msimamo huo huo.
wakiomba mchango mimi nitawachangia.
hata wakisema tuwachangie gharama za uendeshaji wa chama kila mwezi,mimi nitafanya hvyo,as long as wakastick kwenye ajenda hii.
Hater!Maneno yako kivipi
Wewe sio kwanza kupendekeza ishu kama hiyo
Tangu kitambo hicho watu (hususani wanaharakati)
Hata J-Zee huo umekuwa wimbo wake kila siku
Kubwa kuliko yote safu ya uongozi wake isiwe inateuliwa na Rais aliyepo madarakani ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM na mgombea urais.HV ili tume iwe huru muundo wake wa utawala unapaswa kuwa VP na watendaj wake wanapatikana vp
Ni kweli kabisa.Pamoja na mapungufu yake kadhaa, Mh Mbowe ni mwanasiasa na kiongozi mzuri.....ana maturity fulani ambayo wanasiasa wengine wanakosa!
Absolutely right!Unajua kuna watu bado wana underate ukatili na consolidated power ya CCM.
What else are they going to do after kususia ??
Kwamba CCM wawaite wawabembeleze kwamba msijali, tunarekebisha tume, really ???
Tume huru ya uchaguzi + Katiba mpya itakuja kupatikana nchi hii kwa mbinde baada ya mapigano ya wananchi wenyewe. Case study ni Zanzibar (2007 ) na Kenya. Kikwete pekee ndiye aliyetaka kuleta katiba mpya kwa amani na akapigwa vita mnoo.
Imagine hapo Zanzibar, walitengeneza katiba inatiwahusisha mpaka wajumbe wawili wa upinzani lakini bado CCM wanapora tu kwa kutumia Jeshi!!!
Leo wewe unasusa, kwa msajili kuna vyama vya siasa zaidi 18 vinashiriki ( vingine vya kutafutia fursa tu mjini ) wewe unabaki kunung'unika tu.
Binafsi naamini kwenye kushiriki kwasababu:
- Ndio jukwaa la kutolea elimubya uraia na kutafuta kuungwa mkono.
- Licha ya ubovu wa katiba na Tume lakini upinzani umekuwa ukipiga hatua kubwa tu ( hii inasaidia kuimega dubwana CCM kidogo kidogo). Ni ngumu kutegemea huruma ya hao hao CCM au kusubiri uliangushe dude kama CCM oncr and for all.
- Most importantly, CCM kama chama ni kama hakipo. CCM ni Dola ( ndio nguvu wakiyo nayo ). Ndio maana hakuna mwanaCCM mwenye nguvu kuliko Rais ( labda Rais atake mwenyewe )
Hivyo, kushiriki kuna faida zaidi kuliko kususa . Ukisusa utakosa nguvu, kiuchumi na kupunguza uungwaji mkono. Hakuna asiyejua kuwa siku zote raia nao wana mahitaji yao ambayo ni tofauti ya wanasiasa ( ajira, maji, umeme, kodi, barabara, soko etc )
Anyway, let's wait and see maana kususa CUF wslisusa and nothing happenned, CCM walipora serikali za mitaa, Uchaguzi mkuu and nothing happened.
Ngoja tuone wakati huu, in case kutakuwa na any wonders.
I don’t steal what’s mine.Thief
Trying to steal credit that is not yours
Eti Lissu nae alitumia maneno yako? hatari sana.
Nami ninachosema ni kwamba, maoni kama hayo yameshatolewa sana kiasi kwamba ni ngumu kufahamu nani awe reference! Na pia usisahau kwamba, CHADEMA walisusia chaguzi zote ndogo zilizofanyika kati ya 2015 to 2020.Toka 2005 mimi huo ndo umekuwa msimamo wangu.
Matter of fact, ni tokea 1995.
Nishasema kuwa ilikuwa ni makosa kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi bila katiba mpya na tume mpya ya uchaguzi iliyo huru!
Kususia chaguzi ndogo halafu unashiriki chaguzi kubwa wakati mazingira bado ni yaleyale ni kilele cha umajinuni!Nami ninachosema ni kwamba, maoni kama hayo yameshatolewa sana kiasi kwamba ni ngumu kufahamu nani awe reference! Na pia usisahau kwamba, CHADEMA walisusia chaguzi zote ndogo zilizofanyika kati ya 2015 to 2020.