Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mwacheni Mstaafu.View attachment 3409042
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa Habari kuhusu kampeni ya No reforms no election inayoanzishwa na Chama chake.
Mbowe akijibu hilo amesema kuwa wapo Viongozi wenye mamlaka ya kuzungumzia hilo “Mimi sio Msemaji wa Chama watafute watakupa msimamo sasa unaniuliza Mimi wakati Mimi sio Kiongozi ni Mwanachama tu”
My Take
Kumbe kuunga mkono kauli ya chama ni mpaka uwe kiongozi wa chama?
Hata kama, kwani Mbowe si ni mjumbe wa Kamati Kuu, kwa hiyo huo sio uongozi wa kufafanua maazimio ya chama?
Msaliti sio lazima abandikwe bango mgongoni
Amekusaliti ninj,Nendeni kwa Pambalu atatoa msimamo wa nyumbu woooteMsaliti huyu mzee! Halafu hana hata aibu,daah
Huo ni ubinafsiNadhani wanaharakati wengi wameshagundua kwamba watanzania hawasaidiki. Kuendelea kuwapambania na kuwatetea ni kupoteza muda tu bora mtu uwekeze nguvu kwenye mambo yako. Ukiwapambania watz, lolote likikupata (mf kufungwa) wao wanajifungia ndani na wake zao wewe unaozea jela peke yako. Sasa nani wa kufanya huo upuuzi?
Kila mtu apambane na hali yake
Mzee umeshindwa kuelewa hapo?View attachment 3409042
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa Habari kuhusu kampeni ya No reforms no election inayoanzishwa na Chama chake.
Mbowe akijibu hilo amesema kuwa wapo Viongozi wenye mamlaka ya kuzungumzia hilo “Mimi sio Msemaji wa Chama watafute watakupa msimamo sasa unaniuliza Mimi wakati Mimi sio Kiongozi ni Mwanachama tu”
My Take
Kumbe kuunga mkono kauli ya chama ni mpaka uwe kiongozi wa chama?
Hata kama, kwani Mbowe si ni mjumbe wa Kamati Kuu, kwa hiyo huo sio uongozi wa kufafanua maazimio ya chama?
Msaliti sio lazima abandikwe bango mgongoni
Ndio alichofanya Mbowe?Nadhani wanaharakati wengi wameshagundua kwamba watanzania hawasaidiki. Kuendelea kuwapambania na kuwatetea ni kupoteza muda tu bora mtu uwekeze nguvu kwenye mambo yako. Ukiwapambania watz, lolote likikupata (mf kufungwa) wao wanajifungia ndani na wake zao wewe unaozea jela peke yako. Sasa nani wa kufanya huo upuuzi?
Kila mtu apambane na hali yake
Ubinafsi ni hulka ya binadamu wote. Kila mtu anaangalia mambo yake kwanza, including wewe hapo.Huo ni ubinafsi
Nani anajua?Ndio alichofanya Mbowe?
Au sio ligashoAmekusaliti ninj,Nendeni kwa Pambalu atatoa msimamo wa nyumbu wooote
Naimani kichwani una kipara ila akili ni ya buku 7No R No E ni agenda binafsi ya Tundu Lissu. Haina support ndani ya chama.