GE2025 Mbowe akwepa kuzungumzia No reforms No Election, asema yeye sio kiongozi wa Chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3409042

Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa Habari kuhusu kampeni ya No reforms no election inayoanzishwa na Chama chake.

Mbowe akijibu hilo amesema kuwa wapo Viongozi wenye mamlaka ya kuzungumzia hilo “Mimi sio Msemaji wa Chama watafute watakupa msimamo sasa unaniuliza Mimi wakati Mimi sio Kiongozi ni Mwanachama tu”

My Take
Kumbe kuunga mkono kauli ya chama ni mpaka uwe kiongozi wa chama?
Hata kama, kwani Mbowe si ni mjumbe wa Kamati Kuu, kwa hiyo huo sio uongozi wa kufafanua maazimio ya chama?

Halafu, kumbe kutoka Dar kwenda Dodoma ni karibu kuliko kwenda Kisutu au Magereza?

Msaliti sio lazima abandikwe bango mgongoni
Kwani chadema wote wanakubali hiyo NRNE? Wengi tuu wameikataa akiwemo mbowe na wale g55. Wengine wamehama wengine bado wako humohumo chadema.
 
View attachment 3409042

Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa Habari kuhusu kampeni ya No reforms no election inayoanzishwa na Chama chake.

Mbowe akijibu hilo amesema kuwa wapo Viongozi wenye mamlaka ya kuzungumzia hilo “Mimi sio Msemaji wa Chama watafute watakupa msimamo sasa unaniuliza Mimi wakati Mimi sio Kiongozi ni Mwanachama tu”

My Take
Kumbe kuunga mkono kauli ya chama ni mpaka uwe kiongozi wa chama?
Hata kama, kwani Mbowe si ni mjumbe wa Kamati Kuu, kwa hiyo huo sio uongozi wa kufafanua maazimio ya chama?

Halafu, kumbe kutoka Dar kwenda Dodoma ni karibu kuliko kwenda Kisutu au Magereza?

Msaliti sio lazima abandikwe bango mgongoni

mwisho wake ni m'baya sana. mark my words
 
Back
Top Bottom