Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

Kwa hiyo na madaktari wakipokea wagonjwa mahututi ICU wasi kwa sababu universe imeamua?.Acha uongo we jamaa.

Kwa hiyo na madaktari wakipokea mgonjwa mahututi ICU wasiokoe maisha yake sababu ni universe imeamua? Acha uongo we jamaa.
Kwa ishu ya madaktari ni tofauti. Shida ni nyie ndugu mnao hangaika
 
kamuuwe wewe basi, watu wenye uwezo mdogo wa fikra na akili ndogo kama wewe magufuri alikuwa anawaita" wanyonge" msema kweli ni mpenzi wa mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lile zee lilikuwa hovyo
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Universe haifanyi Kazi hivyo.

Universe na Lissu IPO hivi

Aliyetaka kumuua Lissu is no more .

Kuhusu Logistic hata Mbowe asingekuepo bado Lissu angepona au kusaidiwa na watu wengine.
Sio kweli.
 
Mi nikajua nitakuta vitu vya msingi kumbe unamuongelea mpigania Uhuru wa taifa letu ndugu tundulisu antiapas

Utupishe kwa hilo lissu ni Magufuri mwingine

Mbowe akae tu pemben
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…