Mbowe alifanya kosa dhidi ya Universe sasa analipia

Huyu ataanza kwanza kuuliza universe afanyaje, hadi anapata jibu ndugu yake ashavuta kamba kitambo
Niiulize tena universe wakati universe yenyewe ishaamua. You are a part of the universe. If you want to kill urself then it means the universe wants u to die.

Never interrupt with the universe yasije kukukuta yaliyo mkuta Mbowe kwa Lissu.
 
Kumbe ni majungu? Mimi nilidhani inamfundisha watu kupandisha nyota za watoto wao, kumbe inamfundisha dunia imchukie Tundu Lissu!!
 
Watu waliotaka kumuua Lissu tayari karma imeshafagia

Mbowe kinachomtesa ni wakati universe imemkataa
It is the universe who wanted him dead hao waliotaka kumuua ni universe iliamua kuwatumia kwasababu na wao walikuwa wana vibrate in the same frequency as Lissu ( death) they were already dead in the realm of the spirits that's why it as so easy for them to take that decision
 
Niiulize tena universe wakati universe yenyewe ishaamua. You are a part of the universe. If you want to kill urself then it means the universe wants u to die.

Never interrupt with the universe yasije kukukuta yaliyo mkuta Mbowe kwa Lissu.
Mkuu universe inataka vipi wewe ufe? Sababu za mtu kutaka kujiua zinajulikana na mostly ni shida ya kisaikolojia.

Unachotaka kuonesha hapa ni kwamba hakuna matatizo au changamoto yoyote inayopelekea mtu kupoteza maisha kama uzembe, saikolojia, status ya Maisha mfano madeni etc, wewe unaamini tu universe na story za kutunga. Kesho ndugu yako atakua anakufa kwa njaa na wewe chakula unacho utamuacha sababu ya universe. Tumia logic kidogo
 
Human beings are the most highest part of the universe. You are a part of the universe that knows that " I am existing".

So if you want to die it means it is the universe that want you to die
 
Human beings are the most highest part of the universe. You are a part of the universe that knows that " I am existing".

So if you want to die it means it is the universe that want you to die
Kwahiyo mkuu ukimkuta mwanao anachanganya sumu ya panya ili anywe afe, wewe utamuacha tu sababu yeye ni part of the universe?
 
Universe inaweza kuzungumza katika telepath na ikamchagua Mtu.

Ikiwa 90% wanamtaka Lissu means universe imeshazungumza

Endapo wakimkataa ndo hapo utaona reaction ya universe.
 
Mtoa mada hoja yako ime eleweka vizuri sana. Kuna ukweli mkubwa sana kuhusu ulicho kiongea. Anacho kifanya Lissu sio uungwana na sio ubinadamu. Huwezi KUMFANYIA hivyo mtu ambae alikuokoa kwenye maisha yako.

Wanao kutukana wanakubaliana na ulicho kiandika lakini wanachukia kwanini wanakubaliana nacho.

Ndio maana badala ya kupingana na hoja zako wao wanatukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…