Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua na ofisi zavuratibu mkoa wowote kati ya ile iliyotajwa kama vile Moro, Dar, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro na Mwanza?
Hivi Nani unapotoa hukumu za hovyo huku ukweli unao, utaishi milele wewe?
Tukio la nchi nzima afanye yeye na Makomandoo wake asihusushe kiongozi mwingine wa CHADEMA amsaidie kuratibu? Asimhusishe Mnyika wala Kigaila au Salimu Mwalimu? Huyu Mbowe afanye kila kitu pekee yake tuu?
Polisi nchi hii mbona mnawafanya watu wajinga sana? Huu unyanyasaji kweli CHADEMA kwa idadi yao milion 10 nchi nzima wakiamua kusema hapana wakatoka nje mtawafunga wote? Hayo magereza mtayatoa wapi?
Viongozi wa CHADEMA mna jambo la kufanya msikalie huu katili kimya. Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Mna viongozi wa kanda,Mikoa ,Wilaya mpaka matawi, mtandao huu una haja ya kuamua kukataa dhuluma hii.