Mbowe aliharibiwa Biashara zake na kuahidiwa atarejeshewa akiitii CCM, Tundu Lisu alitunguliwa marisasi Mungu akamponya. Chaguo ni Lako Chadema ni 1

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uzuri wa huu uchaguzi wa Chadema wagombea wanafunguka mno

Mbowe ni kama alikuwa anatishiwa hivi kwe shughuli zake za ujasiriamali Ili aitii CCM.
Nadhani CCM ilijua huyu ni Mfanyabiashara anaangalia Faida iko wapi๐Ÿ˜€

Lisu anadai Haki yake ya kuishi ilitaka kuporwa kama si Mungu wa Mbinguni kuingilia Kati na kumponya
Nadhani CCM ulimuona Lisu ni Mwiba ๐Ÿผ

Sasa chaguo ni lako

Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso ๐Ÿ˜‚
 
Kuharibiwa biashara kwa mvaa kaunda suti ni jambo la kawaida katika kutekeleza jukumu lake la kitaifa.

Ni swala la mipango tu kwamba tuta act kwamba tunaharibu biashara zako ili kuwa blackmail wajinga kadhaa wa nchi wajue kwamba wewe ni mpinzani halisi.

Kisha nyuma ya pazia tutakurudishia dabo ili kufidia hasara ya kazi uliyopata.

Kina Lipumba walivunjwa hadi mikono na kusota Rumande, itakuwa swala la kuharibiwa shamba la matembele kijana!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Vijana wa 1990+ hawawezi kuelewa maana ya neno "sentenso".
 
Kuharibiwa biashara kwa mvaa kaunda suti ni jambo la kawaida katika kutekeleza jukumu lake la kitaifa.

Ni swala la mipango tu kwamba tuta act kwamba tunaharibu biashara zako ili kuwa blackmail wajinga kadhaa wa nchi wajue kwamba wewe ni mpinzani halisi.

Kisha nyuma ya pazia tutakurudishia dabo ili kufidia hasara ya kazi uliyopata.

Kina Lipumba walivunjwa hadi mikono na kusota Rumande, itakuwa swala la kuharibiwa shamba la matembele kijana!

Lakini huyu Mbowe pia katika kutimiza majukumu yake kazi yake pia ni kuwaonyesha mtu hatari na mpinzani asiyekubali kula mlungula ili afunge mdomo . Ndio maana wakati wa Dr.Slaa .Vyombo vya dola vilimwandama sana Dr.Slaa mpaka mpaka kuvunjwa mkono na jaribio la kuwekewa sumu kule hotelini Dodoma.
Jiulize tu kama Mbowe ni Tishio kwa Chama cha mapinduzi iweje Kibao aonekane ni tishio zaidi mpaka auawe. Nani amekua akiwapa taarifa za ndani za watu hatari wenye misimamo mikali.?

Kwa nini watu wenye misimamo mikali wawe adui wa Mbowe na Serikali ya CCM ?

Tujiulize ni Kwa nini Mbowe aliyekua anajifanya kuwa waangalizi wa kimataifa waje kuangalia uchaguzi unapofanyika lakini leo ndani ya chama chake hataki na anasema uchaguzi ni suala la Kikatiba!!! . Kwani katiba ya nchi ina Kifungu cha wasimamizi kutoka jumuia za kimataifa au uchaguzi wa nchi ni suala la matamanio ya mtu na sio katiba ?

Unafiki wa mafisadi ndio unaotuambia kuwa Mbowe ana busara lakini ukisikiliza Hotuba zake ni mtu mnafiki ,mwenye majivuno ,visasi na msaliti wa kutoa hata uhai wa mtu kwa sababu ya maslahi .Duniani kote hakujawahi kutokea mfanyabiashara wa kutoa fedha na mali zake bure kwa hasara.Hata wale wanaoisaidia CCM wanalenga kupata manufaa kupitia tenda mbali mbali au misamaha ya kodi . Sasa Mbowe kwa miaka 30 analipa kodi anasaidia chama bila kufilisika !!! Huu ni uongo mkubwa . Huyu ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.
 
Yohana Yohana Yohana, nimekuita mara tatu. Hivi wewe ni kada wa CCM au unawazuga? Kada gani wa CCM anayemkataa Sultani Mbowe?

Ila tunashukuru kwa ushauri wako wapiga kura wamekusikia watamchagua Lissu
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Mbowe ni wanasiasa aina ya kina Mrema. Anafanya kazi ya kuhakikisha hakuna chama cha upinzani kinashika madaraka.

Na pili anapiga hela ndefu kupitia siasa uchwara ambazo zimeasisiwa na mkwe wake.
 
Yohana Yohana Yohana, nimekuita mara tatu. Hivi wewe ni kada wa CCM au unawazuga? Kada gani wa CCM anayemkataa Sultani Mbowe?

Ila tunashukuru kwa ushauri wako wapiga kura wamekusikia watamchagua Lissu
Ili CCM isibweteke na Wajukuu zetu waikute na kutawala ni lazima upinzani uongozwe na watu kama Lisu

Dunia ni Kijiji ๐Ÿ˜‚
 
Uzuri wa huu uchaguzi wa Chadema wagombea wanafunguka mno

Mbowe ni kama alikuwa anatishiwa hivi kwe shughuli zake za ujasiriamali Ili aitii CCM.
Nadhani CCM ilijua huyu ni Mfanyabiashara anaangalia Faida iko wapi๐Ÿ˜€

Lisu anadai Haki yake ya kuishi ilitaka kuporwa kama si Mungu wa Mbinguni kuingilia Kati na kumponya
Nadhani CCM ulimuona Lisu ni Mwiba ๐Ÿผ

Sasa chaguo ni lako

Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso ๐Ÿ˜‚
Si Bora Biashara zinazoleta uhakika wa Maisha, Lisasi za Lisu Kwa sababu za kuropoka kwake zinatusaidia nini sisi? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DEpBenPNnEt/?igsh=MTd2bnE5OHVvN244OQ==
 
Kuharibiwa biashara kwa mvaa kaunda suti ni jambo la kawaida katika kutekeleza jukumu lake la kitaifa.

Ni swala la mipango tu kwamba tuta act kwamba tunaharibu biashara zako ili kuwa blackmail wajinga kadhaa wa nchi wajue kwamba wewe ni mpinzani halisi.

Kisha nyuma ya pazia tutakurudishia dabo ili kufidia hasara ya kazi uliyopata.

Kina Lipumba walivunjwa hadi mikono na kusota Rumande, itakuwa swala la kuharibiwa shamba la matembele kijana!
Ni sawa kuwa tutakupiga risasi ila hautakufa, tutatoa vibali vya dlndege uendeke kwenye matibabu. Tutatishia hatukulipi lakn baadae tutakulipa. Bladfeken siasa. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom