ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mwambie aendelee kuropokaKitima siyo Sawa hako kakanisa ka mumeo mnauwa katibu ππ
Kitima habari nyingine siyo comedian mwenzenu yule πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aendelee kuropokaKitima siyo Sawa hako kakanisa ka mumeo mnauwa katibu ππ
Kitima habari nyingine siyo comedian mwenzenu yule πππ
July form za wagombea urais ccm mtatoa ngapi?Uzuri wa huu uchaguzi wa Chadema wagombea wanafunguka mno
Mbowe ni kama alikuwa anatishiwa hivi kwe shughuli zake za ujasiriamali Ili aitii CCM.
Nadhani CCM ilijua huyu ni Mfanyabiashara anaangalia Faida iko wapiπ
Lisu anadai Haki yake ya kuishi ilitaka kuporwa kama si Mungu wa Mbinguni kuingilia Kati na kumponya
Nadhani CCM ulimuona Lisu ni Mwiba πΌ
Sasa chaguo ni lako
Sisi CCM tunarekodi Kila sentenso π
Chukua maua yako MkuuππππIli CCM isibweteke na Wajukuu zetu waikute na kutawala ni lazima upinzani uongozwe na watu kama Lisu
Dunia ni Kijiji π
Sijawahi kusikia kambi ya LISU waliimba hilo neno Alfa na Omega , isipokuwa vijana wake akina Yerriko Nyerere, Mustapha Mmary na wengine ndo wanasema Mbowe na Siasa za CHADEMA ni Alfa na Omega.Mbowe hana njaa kwamba siasa ni Alfa na omega kama ropo ropo wenu wengine
Nakubaliana na wewe mkuu. Mbowe ni wanasiasa aina ya kina Mrema. Anafanya kazi ya kuhakikisha hakuna chama cha upinzani kinashika madaraka.
Na pili anapiga hela ndefu kupitia siasa uchwara ambazo zimeasisiwa na mkwe wake.