Mbowe alijichimbia kaburi la kisiasa mwaka 2015

Mbowe alijichimbia kaburi la kisiasa mwaka 2015

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe.

Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe uchafu

Tuhuma lukuki za kifisadi kutafuna michango ya makamanda hii nayo ni laana.

Hii laana haitamuacha na anakwenda kumaliza siasa vibaya.
 
Back
Top Bottom