Mbowe alijua Lissu hana uwezo wa kuwa Rais wa Nchi hii, ndiyo Maana hakuzunguka kumnadi kama alivyomnadi Hayati Lowassa 2015

..Tundu Lissu ana uwezo na ushawishi kuliko Samia Suluhu.

..viongozi wa Ccm, akiwemo Samia Suluhu, hawana uwezo, wanabebwa na dola.

..Lissu na wenzake walioko Chadema wanabebwa na uwezo na jitihada binafsi.
Hakuna mwenye uwezo wala ushawishi wa kumfikia hata robo tu Rais Samia hapa Nchini.Rais Samia anacheza kwenye anga lake la ushawishi .ndio maana unaona kwa ushawishi wake na uwezo wake kiuongozi aliweza kualikwa katika mkutano wa G20 uliofanyika Nchini Brazil.
 
kwa utulivu, hekima na busara alizonazo Freeman Mbowe, licha ya mapungufu aliyonayo kama binadamu,

asingethubutu kumnadi mtu ambae ana mdomo, makelele na pupa kama Lisu.

Infact,
bado jambo hilo halitafanyika chadema Mbowe akishihudia. Kwanza itakua ni kupoteza muda, lakini pia kuudhoofisha spirit ya wanachadema kuwa na imani na chama chao,

kumfront mtu ambae moyo na akili ipo ng'ambo, mwili ndio uko Tz kugombea urais kupiitia chadema yatakua makosa yasiyosahaulika kamwe,

mtu ambae yuko standby kuruka majuu na kupotelea kusikojulikana huyo ni kibaraka 🐒
 
Lissu alikuwa anagombea Urais huku tiketi ya ndege ikiwa Mfukoni mwake. Kweli lissu ni mbabaishaji sana
 

..huko G20 atakuwa aliongea utumbo tu.

..uwezo wake ni mdogo ndio maana tunayumba.

..hata Wasaidizi wanamdharau ndio maana 4R zimepotezewa.
 
..huko G20 atakuwa aliongea utumbo tu.

..uwezo wake ni mdogo ndio maana tunayumba.

..hata Wasaidizi wanamdharau ndio maana 4R zimepotezewa.
Unayumba wewe na ulevi wako na kukosa kwako akili.
 
Unawazungumziaje wale wazambarau na chama cha madevu
 
Lissu alikuwa anagombea Urais huku tiketi ya ndege ikiwa Mfukoni mwake. Kweli lissu ni mbabaishaji sana
Mbowe hawezi kurudia tena kutapeliwa na Lisu kirahisi hivyo

na sasa hivi najua wajumbe wa baadhi ya kanda wapo wanapongezana baada ya kufanikiwa kumuingiza mkenge Lisu ,kumuondoa kwenye kugombea umakamu uenyekiti, na kushawishi kugombea uenyekiti kitu ambacho ataona vumbi tu🤣
 
Lissu ana matatizo makubwa sana.anapenda sana kukurupuka na mihemuko.
 
Hashim Rungwe au Ndevutwa wanaweza kumshinda Mama Abduli katika kura zozote zile.
 
Nimekupeni ukweli.
Hii nchi ngumu kama Hawa ndo think tanks wa ccm,

Sasa kama lissu hakufaa kuwa raisi chama kilimpitisha vipi kuwa mgombea
Mchakato si ulifanyika wazi wanachama including mbowe wakampitisha dhidi ya nyalandu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…