mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).
Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.
jimbo la hai
zubeida
unaboa sana na mu... Mu.... Zako wawapi wewe? Jifunze kiswahili kwanza au ndo mamluki wenyewe , mrundi nini?? Manake unaboa!!!
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?
We mwenyewe unaonekana kahaba, hotel gani unayoisema!? Ndo maana huwezi kujua kila binadamu anakasirika! Mbona mweyekiti wa CCM anaanguka anguka!? Mmewahi kusema hafai! Mtu akileta mambo ya hovyo anafanywa hovyo! Au siyo![/i]
kiraka, mwalimu wetu wa kiswahili, hili neno unalotumia la "unaboa" ni kiswahili cha wapi hicho ee???
by the way, usitutoe ktk mada!! Mbowe ni mhuni na mtu wa fujo!!! Hastahili kuishi uraiani namuomba huyo bwana aliedhalilishwa amfungulie mashtaka huyu muhuni anaemiliki hoteli ya makahaba huko dar-es-salaam!!!!!