Elections 2010 Mbowe alimshambulia mtu Jimboni?

Elections 2010 Mbowe alimshambulia mtu Jimboni?

mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

tutakosa uvumilivu pia mkituchanganyia petrol yetu na futa la taa
 
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).

Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.

Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.

That is what we call tough love...sometimes that has to take place ... and must be done effectively ...!!
 
jimbo la hai

zubeida
unaboa sana na mu... Mu.... Zako wawapi wewe? Jifunze kiswahili kwanza au ndo mamluki wenyewe , mrundi nini?? Manake unaboa!!!

kiraka, mwalimu wetu wa kiswahili, hili neno unalotumia la "unaboa" ni kiswahili cha wapi hicho ee???

by the way, usitutoe ktk mada!! Mbowe ni mhuni na mtu wa fujo!!! Hastahili kuishi uraiani namuomba huyo bwana aliedhalilishwa amfungulie mashtaka huyu muhuni anaemiliki hoteli ya makahaba huko dar-es-salaam!!!!!
 
mara nyinginer hulazimika maana kunakuwa na uzembe wa kijinga
 
Si JK tu mwepesi kifikra..mpo wengi!..huu ni ugonjwa unaokutafuneni vibaraka wa CCM!..
 
vibao viwili tu? Nyie mnaodai tu watu wa fujo,mmechelewa kwani kampeni zimeisha na Kaka wa ukweli ndio ameshachukua Jimbo la Hai.
 
CCM wanchekesha sana, wao mgombea wao alipo mkata mtama tena OCD kule shy waliona poa ahojiwe aachiwe, ila shibuda afungiwe kukampeini, hapa Mbowe kumuadhibu mwanae (20 yrs) kwa utovu wa nidhamu ndo kaisha kuwa muhuni tena asiye faa?? ama kweli mkuki kwa nguruwe.........
 
Kama ni displine keshatoa na jimbo kesha tia kimiani. . . . . !
Kama nyie makafir wa sisiem mnazani ni muhuni,bas huo uhuni ndo ulompeleka na utakao mrudisha bungeni . . . !
Hureei . . . . . . . !
Ushindi huo o o o . . . . . . !
 
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

N . NVNMD/N/,/,\JPOSIIWWS[WNZIDTOOY8Yfgfz ?!!!!!!!
 
[/i]

kiraka, mwalimu wetu wa kiswahili, hili neno unalotumia la "unaboa" ni kiswahili cha wapi hicho ee???

by the way, usitutoe ktk mada!! Mbowe ni mhuni na mtu wa fujo!!! Hastahili kuishi uraiani namuomba huyo bwana aliedhalilishwa amfungulie mashtaka huyu muhuni anaemiliki hoteli ya makahaba huko dar-es-salaam!!!!!
We mwenyewe unaonekana kahaba, hotel gani unayoisema!? Ndo maana huwezi kujua kila binadamu anakasirika! Mbona mweyekiti wa CCM anaanguka anguka!? Mmewahi kusema hafai! Mtu akileta mambo ya hovyo anafanywa hovyo! Au siyo!
 
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

Mzembe lazima afundishwe nidhamu. Mbowe aliposema haibiwi mtu alikuwa anamaanisha.

Huyu msimamizi mbona ni mtoto mdogo.
 
quote_icon.png
Originally Posted by zubeda
mukiambiwa chadema ni watu wa fujo na kumwaga damu mutakataa????
kama m/kiti wenu anakosa uvumilivu kiasi hiki, jee, wanachama wake watakuwa vipi?

Tumeiita hali hiyo TOUGH LOVE...

Yaani Mwenyekiti Kadhibitisha UPENDO MKUU!!!

Ni Upendo tu Mkuu!!
 
kuna watu wajinga kama mafisadi wa ccm, utafanya kila unaloweza na kutumia ustaarabu wote lakini hawatakuelewa, kwa nini usichape vibao!
 
...............Haya ndio makosa wanayofanya vyama vya upinzani na kutoa uwanja kwa machinery ya majambazi kufanya kazi........damn!........tukumbuke sifa za uongozi wakuu............

what are trying to achieve here na ushabiki huu..............
 
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nassir Othman (20).

Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Lucas Ng'hoboko alilithibitishia kupokea taarifa za tukio hilo lakini akasema asingeweza kulizungumzia kwa undani kwa kuwa maofisa wake aliowatuma walikuwa hawajarejea.

Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Hai, Dk Norman Sigalla ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Hai, alidai kuwa tukio hilo lilitokea saa 8:45 mchana katika kituo cha Zahanati ya Kambo eneo la Msufini.

Hivi si kuna mkuu wa Wilaya alimchapa mwalimu viboko sometimes back. Kuna adhabu nyingine inabidi kutolewa hapo hapo. Siungi mkono kitendo hicho, but, problem ni hata pale ukilalamikia police hawachukui hatua, nadhani watu wengi wanachukua sheria mkononi kwa sababu mamlaka zilizopo hazichukui hatua stahili pale lalamiko linapotolewa. Mfano ni watu kuchoma wathuhumiwa wa wizi etc
 
nakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao rais mstaafu ali hassan mwinyi
 
Nadhani huyo dogo alileta mchezo na hakujua kwenye mambo ya uchaguzi ni serious business.
 
Back
Top Bottom