Mbowe alimuandaa Halima Mdee kuwa Mwenyekiti wa Chadema ndio sababu Sasa anasapotiwa na Watu Wadogo kabisa akina Ntobi na Yeriko!

Mbowe alimuandaa Halima Mdee kuwa Mwenyekiti wa Chadema ndio sababu Sasa anasapotiwa na Watu Wadogo kabisa akina Ntobi na Yeriko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025

Mzee Mziray mkongwe wa Chadema anasema ndio sababu Mbowe alimshawishi Sana Halima Mdee aachie Ubunge wa shujaa Magufuli Ili aje kuongoza Chama atakapostaafu lakini Halima Mdee alikataa katakata

Mziray amesema ni kweli kabisa Mbowe hana Mtu Mwingine mtiifu kwake kumuachia Chama Kwa sasa zaidi ya Jon Mrema ambaye kisiasa siyo maarufu

Aidha Mbowe anamhofia Mnyika vile vile Kwa sababu za kimadhehebu ila ni Mtu wake wa karibu

Tuko Dodoma tunasubiri lile Jambo 😄😄
 
Back
Top Bottom