johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo wa kwenu amejiuzulu? Hivi huko CCM hamna mambo ya maana ya kujadili yanayohusu chama chenu? Maccm woooooote humu JF mnaijadili Chadema, Mbowe na Lissu tu. Mna boa sana.Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi Mwenyekiti wa huko ameshajiuzulu?Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
CHADEMA inazikwa kwa sababu ya MBOWEItakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.
Maendeleo hayana vyama!
CHADEMA inazikwa kwa sababu ya MBOWE
CDM kuna demokrasia, wagombea 11 wamejitokeza na wanajua wanafanya nini na inajulikana kwanini Mbowe amechukua form na atafanya nini. Ccm thubutu uchukue fomu ya urais uone. Dikteta atakumalizia mbali.Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.
Maendeleo hayana vyama!
Ninaposema wanaccm wengi waliopo JF ni watu wenye akili za kinguruwe nguruwe sieleweki.Huyo wa kwenu amejiuzulu? Hivi huko CCM hamna mambo ya maana ya kujadili yanayohusu chama chenu? Maccm woooooote humu JF mnaijadili Chadema, Mbowe na Lissu tu. Mna boa sana.
Mbona hata wewe hapa unamuhangaikia Mbowe au anagonga baba zigi zaga!mbowe anakugongaga nyuma nini, dume zima na mandevu yako unaangaika na mwanaume mwenzako kila siku.....!
Bwashee kwani CCM siyo chombo cha dola?Ninaposema wanaccm wengi waliopo JF ni watu wenye akili za kinguruwe nguruwe sieleweki.
Lakini ni bora kuishi na nguruwe wenye akili za kimtu kuliko hao watu wenye akili za kinguruwe.
Ukisoma hoja iliyotolewa unabaki kucheka tuu,
Ndio maana wanampa magu fomu za kugombea nafasi za dola! Hicho ni chama kinacho ongozwa na mwenyekiti na KM wamiliki wa PhD
View attachment 1484571View attachment 1484572
Kule CCM kwanza unakuwa Rais na baadae unakabidhiwa uongozi wa chama.... Tena urais ni miaka 10 labda kama Rais mwenyewe atatosheka na mitano!Kwani huko ccm mwenyekiti amejiuzuru kwa muda? Mbaya zaidi huko hata fomu imetolewa copy moja tu.
Huyo wa kwenu amejiuzulu? Hivi huko CCM hamna mambo ya maana ya kujadili yanayohusu chama chenu? Maccm woooooote humu JF mnaijadili Chadema, Mbowe na Lissu tu. Mna boa sana.
Wewe mshamba hii editing ya FB ndiyo umeing'ang'ania kama taahira vile. Unaonyesha upunguani kama mlivyo maccm wote humu JF.