Uchaguzi 2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

Uchaguzi 2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

Wewe mshamba hii editing ya FB ndiyo umeing'ang'ania kama taahira vile. Unaonyesha upunguani kama mlivyo maccm wote humu JF.
9A8DA7AE-ACBF-4164-88A9-16556B3723AC.jpeg

ukitoa povu tena naiweka tena...
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.

Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.

Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja.
P
 
Si mbowe tu hata Lissu kwani wote ni wenyeviti
 
Kwani huko ccm mwenyekiti amejiuzuru kwa muda? Mbaya zaidi huko hata fomu imetolewa copy moja tu.
CCM ni kipindi cha pili hiyo huwa haina mjadala. Lakini kipindi cha kwanza mchujua fomu hawi mwenyekiti.
Huko lazima kutakuwa na conflict of interest.
 
Kiutaratibu ilibidi Mhe. Mbowe press yake ya kwanza baada ya kuvamiwa na wasiojulikana, ilitakiwa atoke kwenye media ana kutueleza kinaga ubaga kilichotokea.

Nikashangaa anaibukia na urais, kweli utekwe alaf ghafla bin vuu uwe normal kuamka na ishu ya Urais?
 
Back
Top Bottom