barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wewe mshamba hii editing ya FB ndiyo umeing'ang'ania kama taahira vile. Unaonyesha upunguani kama mlivyo maccm wote humu JF.
ukitoa povu tena naiweka tena...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mshamba hii editing ya FB ndiyo umeing'ang'ania kama taahira vile. Unaonyesha upunguani kama mlivyo maccm wote humu JF.
Weka tu hata mara elfu ishirini wewe si umeshawaweka mods mkononi. Tungeweka sisi editing ya walevi wenu wa madaraka humu tunaambulia kupigwa ban au zinafutwa.View attachment 1484594
ukitoa povu tena naiweka tena...
Naunga mkono hoja.Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.
Maendeleo hayana vyama!
Si mbowe tu hata Lissu kwani wote ni wenyevitiItakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni kipindi cha pili hiyo huwa haina mjadala. Lakini kipindi cha kwanza mchujua fomu hawi mwenyekiti.Kwani huko ccm mwenyekiti amejiuzuru kwa muda? Mbaya zaidi huko hata fomu imetolewa copy moja tu.
Hakika mkuu!CCM ni kipindi cha pili hiyo huwa haina mjadala. Lakini kipindi cha kwanza mchujua fomu hawi mwenyekiti.
Huko lazima kutakuwa na conflict of interest.