Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world.
Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo tunaweza kulisimamia Taifa.
Kwamba watasikia siyo kazi yetu cha msingi kusema ubaki kwenye historia ya nchi.
Nchi umewekeza more than Trilion kwenye bandari then tunakuja kumkabidhi mtu asimamie uondoshaji na makontena tena akiwatumia wananchi wale wale ambao tuliona awapo compitent?
Mwisho nimshukuru Mdee amepambana na amesikika