Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watanganyika Tuanze "hujuma" kwa kila kitu kutetea nchi yetuHotuba na maelekezo ya Mhe. Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world.
Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo tunaweza kulisimamia Taifa.
Kwamba watasikia siyo kazi yetu cha msingi kusema ubaki kwenye historia ya nchi.
Nchi umewekeza more than Trilion kwenye bandari then tunakuja kumkabidhi mtu asimamie uondoshaji na makontena tena akiwatumia wananchi wale wale ambao tuliona awapo compitent?
Mwisho nimshukuru Mdee amepambana na amesikika
Na hivyo kuonyesha kua tatitzo sio wafanyakazi wa bandari (pekee), tatizo hasa ni usimamizi mbovu wa bandari.Hotuba na maelekezo ya Mhe. Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world.
Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo tunaweza kulisimamia Taifa.
Kwamba watasikia siyo kazi yetu cha msingi kusema ubaki kwenye historia ya nchi.
Nchi umewekeza more than Trilion kwenye bandari then tunakuja kumkabidhi mtu asimamie uondoshaji na makontena tena akiwatumia wananchi wale wale ambao tuliona awapo compitent?
Mwisho nimshukuru Mdee amepambana na amesikika
Nchi umewekeza more than Trilion kwenye bandari then tunakuja kumkabidhi mtu asimamie uondoshaji na makontena tena akiwatumia wananchi wale wale ambao tuliona awapo compitent?[emoji419][emoji375]Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world.
Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo tunaweza kulisimamia Taifa.
Kwamba watasikia siyo kazi yetu cha msingi kusema ubaki kwenye historia ya nchi.
Nchi umewekeza more than Trilion kwenye bandari then tunakuja kumkabidhi mtu asimamie uondoshaji na makontena tena akiwatumia wananchi wale wale ambao tuliona awapo compitent?
Mwisho nimshukuru Mdee amepambana na amesikika
Ni nyepesi (the least) tunawezafanya kuwawajibisha WALIOSHINDWA.Watanganyika Tuanze hujuma kwa kila kitu kutetea nchi yetu
akina nani haoWALIOSHINDWA.
Kwa suala la bandari kukosa ufanisi ni:akina nani hao