Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima, tunasubiri muongozo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.

Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na Mbowe atasitisha hili.

Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.

Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sasa hivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
 
Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.

Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
 
Hakuna kitachotokea, Mbowe hakutumia akili kuropoka aliyoropoka.

Alitakiwa akae na Chama, kisha watafute mbinu ya kupata hayo makubaliano wayachambue, kisha waje na ushauri wao na sio maamuzi maana wingi haupo upande wao
 
unakosoa huku unasubiri mume wa dada ako akuletee ugali sebuleni
 
Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo

Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari.....Ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili

Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA..

Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake....
Wataamsha kesi ya kigaidi.
maana haikuisha
 
Pesa zenyewe mpaka apewe na mama , Hana lolote

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.

Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
Tungekua na wazee kama wewe kipindi TANGANYIKA inadai uhuru wake....

Tungechelewa sana kupata uyuru 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Upumbavu wa middle class, Senegalese wapo mitaani hawakusubiri tamko lolote, generation hii ni lost one, mnalalama tu humu na kujifanya heroes, kama umekerwa na issue ya bandari, kamata bango lako ingia mitaani, mabadiliko yanaletwa na street battles ambayo jasho la damu litamwagika kwa faida ya next generation, why Mr. Mbowe akupiganie wewe?
 
Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo

Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari.....Ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili

Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA..

Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake....
Kukinukisha huko ni kutembea nchi nzima na kuwaambia Wananchi kwamba Bandari zao zimeuzwa , Wao ndio wataamua cha kufanya .

Hakumaanisha kwamba Chadema itapambana na Polisi , Polisi nao mbona wamepigika tu kwenye hili , unapambanaje nao ?
 
Hahahahaha! Ila Mbowe mjanja sana aisee.. anakula hela za wafadhili, ruzuku na michango ya chama huku akiitumikia ofisi ya Lumumba kwa utiifu na wivu mkubwa. Sisi kama CCM tunampongeza kada wetu Mbowe kwa kazi nzuri anayoifanya huko ufipa.
 
Upumbavu wa middle class, Senegalese wapo mitaani hawakusubiri tamko lolote, generation hii ni lost one,mnalalama tu humu na kujifanya heroes, kama umekerwa na issue ya bandari, kamata bango lako ingia mitaani, mabadiliko yanaletwa na street battles ambayo jasho la damu litamwagika kwa faida ya next generation,why Mr.Mbowe akupiganie wewe?
Hizo street battle zinaleta maana zikifanywa na wengi, ingia road mmoja ukamatwe kama mwizi. Yeye aanze kama msafara wa kisiasa tu kisha njaini akiwashe uone kama street battles hazijaitikia.

Street battle haziji bila muanzilishi mwenye ushawishi.
 
Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.

Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili.

Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.

Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Usiamini porojo za wanasiasa
 
Hii ni kete kubwa ya kisiasa kwa mbowe atarudisha hadhi ya chadema kama atalisimamia vizuri lakini hili jambo sio la Chama Bali maslahi ya Tanganyika
 
Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.

Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili.

Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.

Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Wachagga ni idadi ndogo sana ya Watanzania hivyo kama anataka akaamshe kule machame kwao ,jinga kabisa hili ZEE
 
Hakuna kitachotokea, Mbowe hakutumia akili kuropoka aliyoropoka.
Alitakiwa akae na Chama, kisha watafute mbinu ya kupata hayo makubaliano wayachambue, kisha waje na ushauri wao na sio maamuzi maana wingi haupo upande wao
Siku zote pale ambapo elimu inakosekana suluhisho huwa ni kukurupuka ,huyu mzee alishindwa kuvumilia matokea yake amelikoroga kuliko alichokua anakiamini ,tunaposema pelekeni watoto weny shule huwa tunaimqnisha.MASKINI MZEE MBOWE
 
Back
Top Bottom