Ningefurahi sana waanze watoto wa Lema na mzee mbowe kungia barbaraniNdiyo imeisha hiyo,waingie barabarani sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningefurahi sana waanze watoto wa Lema na mzee mbowe kungia barbaraniNdiyo imeisha hiyo,waingie barabarani sasa.
We waache tu wajifarague wataipata ya moto 2025, ni lazima watakuwa na wakati mgumu.Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
Naunga mkono hojaMbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na Mbowe atasitisha hili.
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sasa hivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Mpuuzi wewe acha ukabilaWachagga ni idadi ndogo sana ya Watanzania hivyo kama anataka akaamshe kule machame kwao ,jinga kabisa hili ZEE
Sasa kutembea nchi nzima kusema Bandari imeuzwa ni kukinukisha? We jamaa hautoumbweee lkn? Kukinukisha ni vurugu hakuna mjadala, aingia mtaani watu tumle mk...ndu tumechoka na siasa za kikabila na kibaguzi, za kugawa watu kila uchao.Kukinukisha huko ni kutembea nchi nzima na kuwaambia Wananchi kwamba Bandari zao zimeuzwa , Wao ndio wataamua cha kufanya .
Hakumaanisha kwamba Chadema itapambana na Polisi , Polisi nao mbona wamepigika tu kwenye hili , unapambanaje nao ?
Nakazia, aende Machame akaliamshe.Wachagga ni idadi ndogo sana ya Watanzania hivyo kama anataka akaamshe kule machame kwao ,jinga kabisa hili ZEE
Tanzania hakuna mjinga wa kuacha mambo yake eti akaandamane 😁😁Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na Mbowe atasitisha hili.
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sasa hivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Tanzania hakuna mjinga wa kuacha mambo yake eti akaandamane [emoji16][emoji16]
Ebu jaribuni kuwaza kwa kutumia ubongo badala ya makalio!Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.
Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
Mbona CCM haikukaa na wananchi ili kuujadili kwa mapana yake!Hakuna kitachotokea, Mbowe hakutumia akili kuropoka aliyoropoka.
Alitakiwa akae na Chama, kisha watafute mbinu ya kupata hayo makubaliano wayachambue, kisha waje na ushauri wao na sio maamuzi maana wingi haupo upande wao