Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.
Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
Wataamsha kesi ya kigaidi.Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari.....Ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA..
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake....
Pesa zenyewe mpaka apewe na mama , Hana loloteMbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari.....Ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA..
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake....
Tungekua na wazee kama wewe kipindi TANGANYIKA inadai uhuru wake....Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.
Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
Kukinukisha huko ni kutembea nchi nzima na kuwaambia Wananchi kwamba Bandari zao zimeuzwa , Wao ndio wataamua cha kufanya .Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari.....Ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA..
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake....
Hizo street battle zinaleta maana zikifanywa na wengi, ingia road mmoja ukamatwe kama mwizi. Yeye aanze kama msafara wa kisiasa tu kisha njaini akiwashe uone kama street battles hazijaitikia.Upumbavu wa middle class, Senegalese wapo mitaani hawakusubiri tamko lolote, generation hii ni lost one,mnalalama tu humu na kujifanya heroes, kama umekerwa na issue ya bandari, kamata bango lako ingia mitaani, mabadiliko yanaletwa na street battles ambayo jasho la damu litamwagika kwa faida ya next generation,why Mr.Mbowe akupiganie wewe?
Wewe unataka kuandamana? au ni mbwembwe tu za mitandaoni? acheni mama afanye kaz nyie viaziunakosoa huku unasubiri mume wa dada ako akuletee ugali sebuleni halafu dada ako aulipie kwa kupigwa ukuni mzito
Usiamini porojo za wanasiasaMbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili.
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Wachagga ni idadi ndogo sana ya Watanzania hivyo kama anataka akaamshe kule machame kwao ,jinga kabisa hili ZEEMbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo.
Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na mbowe atasitisha hili.
Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA.
Safari hii mwenyekiti hatutaki kusikia excuse yoyote wala kuyumba sahivi ni wakati wa kuchukua maamuzi na hatua kali dhidi ya Tulia na Genge lake.
Hujamuelewa Mwenyekiti.Mbowe alisema la DP world likipitishwa
Siku zote pale ambapo elimu inakosekana suluhisho huwa ni kukurupuka ,huyu mzee alishindwa kuvumilia matokea yake amelikoroga kuliko alichokua anakiamini ,tunaposema pelekeni watoto weny shule huwa tunaimqnisha.MASKINI MZEE MBOWEHakuna kitachotokea, Mbowe hakutumia akili kuropoka aliyoropoka.
Alitakiwa akae na Chama, kisha watafute mbinu ya kupata hayo makubaliano wayachambue, kisha waje na ushauri wao na sio maamuzi maana wingi haupo upande wao