Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima, tunasubiri muongozo

Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPRAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
We waache tu wajifarague wataipata ya moto 2025, ni lazima watakuwa na wakati mgumu.
 
Naunga mkono hoja
 
Kukinukisha huko ni kutembea nchi nzima na kuwaambia Wananchi kwamba Bandari zao zimeuzwa , Wao ndio wataamua cha kufanya .

Hakumaanisha kwamba Chadema itapambana na Polisi , Polisi nao mbona wamepigika tu kwenye hili , unapambanaje nao ?
Sasa kutembea nchi nzima kusema Bandari imeuzwa ni kukinukisha? We jamaa hautoumbweee lkn? Kukinukisha ni vurugu hakuna mjadala, aingia mtaani watu tumle mk...ndu tumechoka na siasa za kikabila na kibaguzi, za kugawa watu kila uchao.
Akithubutu tunamla kinyeo.
 
Tanzania hakuna mjinga wa kuacha mambo yake eti akaandamane 😁😁
 
Keyboard warriors mnawazaga ujinga sana. Mbowe licha ya Elimu yake ya darasani isiyoeleweka lakini kafanikiwa kutengeneza Imani kwa vijana wengi wa vijiweni.

Mwenzako kasema hayo siku ya tukio anakaa nyumbani ninyi mnasagwa kwa kukosa maarifa.
Ebu jaribuni kuwaza kwa kutumia ubongo badala ya makalio!

Msikae mkaishi na kuwaza ki-vyama maisha yenu yote!

Kuna matukio ambayo hayahitaji hata chembe ya uchama!
Bali UZALENDO tu!
MBOWE Ameongea kama mzalendo!
Kuliko hao wahuni wa CCM waliorundikana Dodoma leo kupitisha mkataba wa kinyonyaji.
 
Hakuna kitachotokea, Mbowe hakutumia akili kuropoka aliyoropoka.

Alitakiwa akae na Chama, kisha watafute mbinu ya kupata hayo makubaliano wayachambue, kisha waje na ushauri wao na sio maamuzi maana wingi haupo upande wao
Mbona CCM haikukaa na wananchi ili kuujadili kwa mapana yake!
Badala yake wameuleta kwa mfumo wa zimamoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…