Mbowe alitoka CCM akajiunga Chadema na Tundu Lisu alitoka NCCR Mageuzi akajiunga Chadema, Katiba ya kwanza ya Chadema walikopi ya NCCR Mageuzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI

Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli

Mlale Unino 😂

Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
 
Uko sahihi kabisa
 
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa au kuiambia serikali ieleze uchunguzi wa mauaji ya Mzee Kibao ymefikia wapi..kungekuwa na tija sana! na hapo ndio mlicho nacho kichwani mwenu kinaonekana mko upande gani na mna lengo gani..!
 
Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI

Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli

Mlale Unino 😂

Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
CCM mnachanganyikiwa na uchaguzi wa CHADEMA, Je kweli CDM ni tishio kiasi hicho au mimi ndio sijui tu?!
 
Yaani hata mimi tangu nilisome andiko la Yericko Nyerere na kusikiliza utumbo alioongea Boni Yai natamani kusikia DJ kachukuliwa na malaika wa kuzimu.
Jamaa anatembelea damu za watu na kujinufaisha tumbo lake tu.
Watu wameuawa wakiipigania CHADEMA lkn mnufaika ni yeye na familia yake na wapambe wake
Screenshot_20241218_155918_Instagram.jpg
 
Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI

Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli

Mlale Unino 😂

Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
Wote wanafaa kuwekwa makumbusho ya taifa!
 
Back
Top Bottom