johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yaani hata mimi tangu nilisome andiko la Yericko Nyerere na kusikiliza utumbo alioongea Boni Yai natamani kusikia DJ kachukuliwa na malaika wa kuzimu.DJ.
Sitaki hata kumsikia
Uko sahihi kabisaMimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI
Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli
Mlale Unino π
Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
Boni yai kasemajeYaani hata mimi tangu nilisome andiko la Yericko Nyerere na kusikiliza utumbo alioongea Boni Yai natamani kusikia DJ kachukuliwa na malaika wa kuzimu.
CCM mnachanganyikiwa na uchaguzi wa CHADEMA, Je kweli CDM ni tishio kiasi hicho au mimi ndio sijui tu?!Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI
Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli
Mlale Unino π
Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
Jamaa anatembelea damu za watu na kujinufaisha tumbo lake tu.Yaani hata mimi tangu nilisome andiko la Yericko Nyerere na kusikiliza utumbo alioongea Boni Yai natamani kusikia DJ kachukuliwa na malaika wa kuzimu.
Wote wanafaa kuwekwa makumbusho ya taifa!Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI
Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi makubwa Chadema kabla Mbowe hajamleta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ulinzi na Foreign Mzee Lowasa 2015 Kugombea Urais wa JMT ambaye kimsingi Ndiye aliwapa Ubunge vijana mashuhuri kisha akawakabidhi kwa Shujaa Magufuli
Mlale Unino π
Kwako mhenga mrangi Ova ukiwa Ufipa st
Chama kitakufaWote wanafaa kuwekwa makumbusho ya taifa!