johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sisi hatujamkataa....mtasubiri sanaMbowe sio mjinga!. Anajua Urais hawawezi shinda sasa aambatane Lissu much know hili iweje? Ndo maana anaona bora apambanie zake ubunge ingawa nae hatopata ! Wameshamkataa Hai!
Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu, JJ Mnyika aliona mbali!Comrade na wewe nenda kajichimbie nyumbani kwenu Mpwapwa ule viwavi jeshi
QMbowe hawezi kupoteza muda anampigania Lisu wakati anajua atatia aibu kwa kupata kura kidogo sana!
Mbowe ameona bora akapambanie ubunge wake kuliko kukesha anapigania Lisu awe rais kitu ambacho hakiwezekani.
Ruzuku ya chadema itapungua sana awamu hii sababu Lisu hana uwezo wa kupata kura na wabunge aliopata Lowasa.
Kwenye huu uchaguzi Mbowe kila akitafakari anaona kapoteza vibaya mno.
Kiufupi huu uchaguzi Mbowe hajaambulia hata sent tano ila zinamtoka tu.
[emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]Mbowe sio mjinga!. Anajua Urais hawawezi shinda sasa aambatane Lissu much know hili iweje? Ndo maana anaona bora apambanie zake ubunge ingawa nae hatopata ! Wameshamkataa Hai!
sasa kada gani hujui hata sheria za NEC, CCM mbona mnakuwa vilaza hivi tutawaelimisha hadi lini mnatupa tabu sana kufundisha vilazaKiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Sheria zipi bwashee!sasa kada gani hujui hata sheria za NEC, CCM mbona mnakuwa vilaza hivi tutawaelimisha hadi lini mnatupa tabu sana kufundisha vilaza
mdau ameeleza hapo juu sitaki kurudia ,yaani vilaza hadi kitu irudiwe dahSheria zipi bwashee!
Chadema wana Team imara na madhubuti ya kampeni. Hakuna Katibu Mkuu hakuna mwenyekiti kwenye Tume ya Kampeni ila CCM wanahemea mashine dadeki.Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Hai ndo kwao,unaposema amehamia sijui unamaanisha niniKiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Inakuhusu nini wewe? Badala uulizie habari za mgombea wako Jah people?Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Yanakuhusuje? Kule ni kwao na ni mgombea wao, wewe ni Nani Hadi umpangie aandamane na Lissu?Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Tena wale wa rangi ya kijani kubichiComrade na wewe nenda kajichimbie nyumbani kwenu Mpwapwa ule viwavi jeshi